mwanamke ambaye hujawahi kunywa p2 Wala kutoa mimba mambo
2025-10-03 07:00:20
475
zulf@t heen@💕❤️💫👌 :
acheni uwongo bwan yani hpa nahisi diamond kafik chezea mzanzibar ww🫣msinichambe nipo nkunywa soda isije kunipalia bureee🤗🤗
2025-10-03 03:54:42
161
DJ Stunna The Black Bull :
those looking for English comments like me let's gather here 🤣🤣
2025-10-03 20:32:31
185
Nana beauty parlour 💄 :
ila Hawa wanaoendana sana🥰🥰🥰 wanaume wanapenda mambo ya kiswahili sisi tu wadada tunataka uzungu!! we angalia matajiri wanavyohaha na watoto wa uswahilini,
2025-10-03 07:18:18
72
nunuhijabstore :
Zuhura we Muzuri mashallah🥰nakupenda so much😇
2025-10-03 07:54:17
6
Wardah Paul :
Tuliokuwa single mda huu habar zenu🖐🖐🤣
2025-10-03 09:33:25
36
Dasanka :
we zuchu wewe hadi nimelia😭😭😭 kwafuraha yarabi ilinde ndoa yao idum uwalinde naftina nashari zawaja wabaya naiwe kheri sk zote kwao inshaallah 🥰🥰
2025-10-03 06:43:26
34
da cute :
tunaopenda furaha ya zuchu kujen apa
2025-10-03 18:27:01
31
Nactegwa lombo :
jamani nimeangalia mpka bando langu limeisha yaani narudia rudia kama jinga
2025-10-03 07:58:44
16
sherryme🌹😇 :
Nimegundua furaha yangu ni hili penzi
2025-10-03 08:39:51
45
Diana Kaml :
jaman raha sio raha kupenda raha sana🥰
2025-10-03 06:45:54
19
CuteZanish :
Yaani hapo zuhura kuachika labda apenda Allah🥰🥰🥰🥰huna baya
2025-10-03 15:25:11
6
Ukhty-muney 🦋🌸💫 :
Tulio angalia zaidi ya mala 4 tujuane🤣🤣
2025-10-03 06:59:37
52
natty_designs1 :
Rahaaa naona Mimi huku 🥰😁
2025-10-03 08:17:54
25
mulhaty21 💞🇹🇿 :
hapana chezea toto la kizanzibar🥰🥰
2025-10-03 14:56:42
7
King F🅰️h🅰️d💭 :
kushkwa hiv na Bdo Hajatok Kweny mstari Ddah kwel mzik Damuni
2025-10-03 09:38:14
8
Nouh pochi og🥰💞 :
tutachanganyikiwa umu tik tok
2025-10-03 07:07:36
16
Ms Fatma 🥰🥰 :
kwakweli zuchu anapendwa na mondi tuache unafiki Simba hakurupuki hapa hata kama ana cheat nje
2025-10-03 07:53:27
37
Qatrillah 😍 :
najichekesha kama mjinga😂
2025-10-03 03:34:02
56
chaby :
mtoto wa kizanzibar huyuu
2025-10-03 03:57:30
72
Lee Menez :
wazenjibar mupo hatujawahi kufeli 😂😂😂
2025-10-03 09:56:52
32
mzur :
mm kuimba huku namtizama mwanaume usoni siwez
2025-10-03 07:31:43
33
To see more videos from user @queen_zuchu, please go to the Tikwm
homepage.