@omidol_health_consultanc: Replying to @user18782353773231 MATUMIZI SAHIHI 1. andaa punje 10 za kitunguu saumu 2. zimenye halaf kata vipande vidovidogo 3. zote kwa pamoja meza pamoja na maji glass 4. mara 2 kwa siku hivyo asubuhi punje 10 na jioni punje 10 kwa muda wa siku 7 Tumia hii utajishukuru baadae lete majibu hapa kwa maelezo zaidi ama kuelewa tatizo lako kwa kina nitafute whasap +255654 35 79 71 #uzazikwamwanamke #pid #uzazi_tips #uzazi #pidawareness