@rubeyatv_: UKIACHANA NA TANGA NI WAPI KWENGINE UNAWEZA KUKUTA HII #rubeyatv_ #latestnews

Rubeya Tv
Rubeya Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 October 2025 06:59:07 GMT
60309
3198
265
277

Music

Download

Comments

sajeylove
Sajey love :
Yana raha tunayo ipata hapo tuna ijua wenyewe yan dah hap nd ukute ulilal mun amshwa kwa kumwagiwa maji oya uislam raha nyie, waislam tukutane hap plz
2025-10-03 16:37:03
24
omarially128
omarially128 :
acheni kudhihaki,hao ni wafuasi wa WALIYU LLAH,UBDUL QADIR JAILANI
2025-10-03 15:42:14
4
sarahnzowa4
Sarah Nzowa623 :
wanazikr wao raha naona mimi mashallah wazee wetu
2025-10-03 17:47:37
0
griii..4
FIGISU :
hawa wazee wakikuroga huponi
2025-10-03 16:00:41
10
_ch2mpi0n
Anonymous :
mwamba mwenye pengo anamzuka kama kaambiwa akiongeza masikitiko anaingia Firdaus🤣🤣🤣
2025-10-03 13:27:24
34
khatwaby.rashidy
خطاب ابن عبد الراشد :
kama wajinga
2025-10-03 17:47:02
0
habibumkamate4
habibumkamate :
hio Zikrii yenyew ni mtwara hio
2025-10-03 14:22:34
10
sharikinalinga488
Shariki Nalinga :
Mtume muhamd sw ali sema muisilam ukimtaza utaona nuru katika uso wake ebu tuwatizame hawa IYO NURU WANAYO
2025-10-03 12:40:39
4
user8385170817568
Mr Aidia Og :
nakumbuka KIWALANI msikiti wamakuti🤣🤣 utamu wa Dhikri apo unajihis upo pepon na Malaika
2025-10-03 14:30:15
3
mwinyially486
Kratos seacer :
wanaopenda dhikri like hapo
2025-10-03 17:15:29
10
librarybungufamily
saidi s kalole :
mbona kama na wavuta bangi wapo
2025-10-03 11:58:11
0
shafii.filmon
Shafii Filmon :
hiii ndio Laaaana waliopewa Wayahud. usijalibukufuata nihatari Siku yakiyama. nimaswali yasiyokua namajibu
2025-10-03 13:40:58
0
user6734969079498
abdallah ally :
wanaokubali kilwa like hapa
2025-10-03 17:05:36
4
yuma56075
Yuma :
kama umemuinjoi mwenye kilemba like hapa
2025-10-03 17:28:30
4
charlesmsakila458
Charles Msakila :
hapo huwaambii chochote as if Mungu ni Kaka yao maana hapo maraika wao hukumu wao alaooo
2025-10-03 14:48:24
1
user1178150004945
Kilo Gao :
unguja hasa kaskazin na kusini jambiani,paje,makunduchi 😂😂
2025-10-03 12:13:08
3
ochu.og3
ochu og :
aaaah inanikumbusha Tanga ila dar inatubadilisha sana ase saivi utaskia m2 anasema ushamba kumbe alikua hadi anapandisha na kuanguka ALLAH AQBAR
2025-10-03 12:34:54
2
muhammadshomari
Muhammad Shomari :
Allaha Allaha Allah chimba wew
2025-10-03 14:08:33
2
stancreezy
artist from Afric🌏Stan Creezz :
Namuona mzee chiro 😂😂
2025-10-03 17:31:50
1
abuu.dhulqarinain
Abuu Dhulqarinain :
USUFI NI UJUHA
2025-10-03 12:35:55
0
g.mwampulo
GSM transport services :
ole wako wakose ubwabwa
2025-10-03 15:08:26
0
ceo_moshy_tz
CEO WACHUO BRAND STUDIO :
karbu mawenz moro mjin kw mzee kibwembwele
2025-10-03 14:00:39
3
yuscodeprincehjr
yuscodeprincehjr :
moja ya kitu roho inapenda 🥰
2025-10-03 13:57:26
8
khamis.ameir
Khamis Ameir :
Hapo hata swala hawakumbuki
2025-10-03 12:48:01
2
kilema6
kilema juu :
Huyo mwenye kilemba noma anaimba kwa hisia sana 🤣🤣🤣
2025-10-03 15:38:54
2
To see more videos from user @rubeyatv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About