sema mwenetu alitupoga Sana
jini kaacha namba kwa kiganja oya oya😂😂😂
2025-10-11 17:54:23
0
Kennedy . E. A. :
Kwani mii ndio niliimbiwa hii nyimbo, juu hapo miaka minane nyuma niliota hivyo exactly hadi I crammed the number then niliposhtuka kutoka usingizini nikaiandika kupiga simu ni sauti ya dem. nilikata simu haraka nikaifuta
2025-10-07 06:15:02
3
Dr.Ring' the Nerd :
nyimbo yaitwa mpenzi jini by anto🤣😅🤣
2025-10-06 16:25:26
1
Shabby.32 :
Natamani sana na Mimi Siku nipate hiyo bahati Ya Kupendwa na Jini
2025-10-18 03:12:14
1
jaguar :
name of the song
2025-10-05 21:12:46
1
Lynn🦋 :
na si alikuachia number
2025-10-05 19:24:48
2
shakur 🥷🏽🥷🏽 :
Old skool songs so good🥺🥺🥺
2025-10-05 16:59:20
1
elishahamisi520 :
mpenz jini
2025-10-05 18:38:55
1
classic jr7 :
duuu ilinitokea nikakuta ni jini lilikuj kwa kwa muonekano wa mzungu na kulikuna nililikuna duuh
2025-10-05 03:26:34
1
Destii Mkosh :
favorite song 💕💕.. old school are the best.
2025-11-28 12:12:25
0
SAD❤️🩹LIFE 🥹 :
2026-06-28 16:51:21
0
Ali salum :
kiukweli sai bongo fleva imeisha ulikua unasikiliza mziki na unakielewa kinacho ongelewa
2025-11-23 21:48:39
0
zawadi :
Nyimbo nzUri mno🙂
2025-10-13 05:22:16
0
To see more videos from user @tropikanalyrics, please go to the Tikwm
homepage.