@radio47_kenya: Ni story gani umewahi skia kuhusu police recruitment ukabaki tu umecheka na kushangaa? Eti mmoja anadai alitolewa juu kichwa chake ni ndogo atapoteza kofia ya serikali😅 #BillyNaMbaruk #Radio47FunFriday #HapaNdipo

Radio 47
Radio 47
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 03 October 2025 16:45:16 GMT
72567
4963
86
169

Music

Download

Comments

segynancy1
nancysegy :
mimi nliambiwa miguu zinakaa za Bata nkaambia afande aniweke navy ntaogelea vizuri 😂😅
2025-10-03 18:33:58
10
ashrafuuuuuuu
aj :
nilikimbia sana nikaambiwa nitakimbia na bunduki
2025-10-04 10:46:39
1
benardngugi536
Benard Ngugi :
Wanaitisha barua ya mzazi kumbe wanamanisha pesa
2025-10-04 12:42:11
1
lancememo
💚🥀LANCE 💜👌 :
kuna mwingine ameambiwa miguu zote ni ya left😅
2025-10-03 18:24:56
5
opiyoamuri
Opiyo Amuri :
My guy aliambiwa kende moja ni ndogo kuliko lingine🤣 Aje sasa? For what purpose🤣
2025-10-03 16:55:36
5
meriankingsmile1
SMILIE 🥰🤩😍 :
5/5 guy nalipa
2025-10-03 16:53:16
2
_houseof_drama1
kevoji :
So the video was not enough for you, now you are reading people's comment 😐🙄
2025-10-03 17:29:48
0
goddyz4
Goddyz :
Sasa mwingine alikimbia akakua number 1 akaambiwa jeshi itaki watu waoga .utakimbia uache afisa wenzako kwa operation
2025-10-03 20:41:44
0
lee.kuan.yew60
LEE KUAN YEW :
i was told I have snake skin never healed 😅
2025-10-03 18:06:33
0
kasmall140
🦋🦋kasmall 🦋😘 :
10nalipa
2025-10-03 21:09:37
1
mwatsakawatupani
45misscall :
nawapenda sana kaka zangu wakubwa mnanikosha snaaa🤣🤣
2025-10-04 07:48:11
0
samuelmunenemutho
Gasamba kega Governor :
akh corruption Ni mbaya I remember mmi niliambiwa niende nyumbani nitapigiwa simu Hadi waleo
2025-10-03 21:23:25
0
munenekevin001
Kevin✨ :
Niliambiwa Niko Na mbio Sana naweza potea Na buduki ya serikali😂
2025-10-03 20:34:03
1
captainbilly24
CaptainB :
mimi waliniambia miaka imepita njaribu next time..nkamuuliza kwani nagrow nikirudi nyuma....
2025-10-03 19:46:43
1
kingdanteh0
king Danteh💫 :
jamaa nimevaa boot apo nys msee ananisho nko na flat foot siwezi vaa boot ya serikali 😏😏
2025-10-03 19:31:04
0
olemaryke
༆๏Øl͟è͟ M͟å͟r͟y͟ K͟é͟༄🥰🩷 :
na hapa Niko na ndugu yangu hapo kwa kichwa hatobooi😫😂😂😂
2025-10-03 17:01:04
2
user3803838825159
Freddie😍😍 :
What I was told during recruitment 2021 mmmmh Only God Knows tuh
2025-10-03 19:21:50
0
heri.bazuu
Heri Bazuu :
Mimi niliambiwa Niko na mjulus kubwa nitaharibu uniform
2025-10-03 20:14:44
0
queencyqueen.7
🔐Official Queency🦋🦋Queen👑 :
mm niliambiwa nitatumiwa kama missile
2025-10-03 19:35:06
0
jombi.nashon
Tonny :
ukiwa na kubwa pia utaharibu kofia
2025-10-03 21:57:30
0
sylviandiema765
ndiema sly ♥️♥️ :
noma
2025-10-03 21:12:57
0
user9770099737185
sebastine djtomato :
mh niliambia meno yangu ni dogo dogo siezi juwa kukula ongo
2025-10-04 06:59:44
0
user3046089544126
DJ Joe :
Kuna mwenye aliambiwa ako na lips kubwa etii sitalamba mali ya huma😁🤣
2025-10-03 23:55:22
0
etihadgirl
Etihad_girl💙 :
wa 10/10 notifications iniletee kwako
2025-10-03 20:20:45
0
msanii805
malenga msanii ke :
Mimi niliambiwa Niko na PUA refu nitanusa hongo...suwezi sahau
2025-10-04 00:39:16
0
To see more videos from user @radio47_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About