@stevetobsmedia: likua tarehe ni tarehe 14.06.2020 vijana wawili @godfreysteven_ na @mathiusthomas wakiwa wajawa na uvuvio wa roho mtakatifu kwa pamoja wakiwa na nia njema wakaamua kupakia wimbo wa #NIWEWE kwenye channel ya youtube ya Mathias Walichupa ukiwa ni wimbo wa kushirikiana ambao umebeba haki miliki za @mathiusthomas ambaye ndiye muhandisi mkuu wa wimbo huo katika kila kitu kuanzia kuchoka melody mpaka kuufanyia mixing wimbo huo. Sasa ni miaka mitano sasa tangu wimbo huu uwe kwenye mtandao wa youtube na digital platforms zote ila mpaka sasa unabakia kua moja kati ya timeless song ambazo utasikiliza kila wakati. Katika wimbo huu beti zote mbili zimekua beti za kipekee sana zilizobeba hisia za kimazingira pamoja na ujasiri wa kumtegemea Mungu katika kila hali na mazingira yote magumu. Anaanza @godfreysteven_ kwa ustadi mzuri na uvuvio wa roho mtakatifu huku akiwa amebeba mguso wa aina yake na @mathiusthomas walichupa anatupeleka moja kwa moja kwenye uwanja wa vita bila kua na uhaba wa mishale kwa kua Mungu yuko upande wake kwa upande wangu tangu mwaka 2015 mpaka ivi sasa bado sijapata wimbo mwingine unaoweza kujenga tumaini langu kila nikiutafakari ukuu wa Mungu na wimbo huu hua unainua sana imani yangu kwa Mungu kwa nyakati zote ninapokua nimeinama. #yeshua #jesus #jesuslovesyou #passover2025 #easther #congolaise🇨🇩🇨🇬 #congolaise🇨🇩 #muslims #congo #shekh #america #africantiktok #isalmic #catholicvibes #heshimakwawazazi #onceuponatime #praisethelord #eastafrica #praiseandworship #praise #yeshua #jesus #jesuslovesyou #passover2025 #easther #jesusisking #masia #samsasali #ibada #women #ccm #chadematz #act #pricillashirer #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #tanzania🇹🇿 #daressalaam #kariakoo #dodoma #mbeya #arusha #mwanza #kenyan #nairobi #kampala #kigali #rwanda #bunjumbula #goma #congo #congolese #uganda #africanart #girlfriends #boyfriends #womenempowerment #womenentrepreneur #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #kenyatiktokers #kenyatiktok #daressalaam #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪nairobi #tiktokkenya🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #christianfashion #Buckethead #nairobitiktokers #ambwenemwasongwe #africa #gladnessmwanga #farajacute #5star #women #samsasali #ibada #zingatiaibada #farajacute #gladnessmwanga #kerinelife#tiktokkenya🇰🇪 ###tanzaniantiktok🇹🇿 ##Buckethead #tanzaniatiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya#tiktoktanzania🇹🇿 #tanzaniatiktok #daressalaam #tiktoktanzania #kenyatiktokers #kenyatiktok #nairobitiktokers #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokkenya
mungu anabariki Kila hitaji lako na ufike nchi ya ahadi wewe usomae comment hii🙏
2025-10-04 07:49:28
319
mariam closet :
niliimba huu wimbo usiku mzima kuamkia sendoff yang yani hakika nilimuona Mungu siku ya tukio hakukua na aibu wala fedheha kila aliehudhuria alisema hajawah kuona sendoff nzuri kama hii mpaka leo naitwa bibi harusi mambo yalikua🔥🔥
2025-10-04 09:16:07
265
It’s marcie :
sioni waimbaji wakubwa wakimpa shavu Godfrey Steven lakini uyu jamaa ana balaaa nyimbo zake ni very really 🥰
2025-10-04 17:31:50
122
brave :
Godfrey Steven ni pure talent
2025-10-05 09:46:44
20
Daisy 🌼 :
November 2020 singing this while my both parents were so sick ,forwarded to my mum and she replied I am going on an operation room right now my daughter, I just knew she will survive that and she did!!! Hallelujah
2025-10-04 17:38:20
9
AHOBOKILE :
Walichupa underrated gospel singer but kijana anajua sana napenda sana nyimbo zake @sifa za moyo wangu @Amen @Nitashinda kijana nyimbo zake ni baraka sana maishani mwangu
2025-10-05 09:31:00
12
EngineerChriss :
kama unawakubali awa watumishi wawili gonga like hapa❤
2025-10-04 20:33:12
5
Ester✨ :
Nili juaga kipofu😂😂
2025-10-04 14:45:38
8
DADA MAYEMBA 105 :
Jina la wimbo please
2025-10-04 12:26:42
5
atu❤️ :
Mimi nampenda sana Mathias walichupa nyimbo zake zote zinanibariki sana kwakweli
2025-10-05 20:42:58
8
Dada_Lollie✨🥀 :
Wimbo wangu bora wa miaka yote
2025-10-04 17:14:52
5
Lifeofsugarcane :
Baba angu alifariki 2021💔😭,huu wimbo unanipaga faraja sanaaa❤
2025-10-04 11:45:01
5
deboraJ :
napata faraja mno nkisikiliza 🙏🙏
2025-10-04 04:52:07
15
username 37 :
nliingilia cku ya send off 2021
2025-10-04 07:40:20
6
Sarah Kimaro887🧿🦋🦋🦋 :
Kabisa kabisa🙌🏾
2025-10-04 07:12:00
10
##FaithmomOg :
kabisaaa hata mm wimbo nnahistoria nao huu na bado unaish kwenye moyo wangu kila nikiusikilza nauwona mpya na bado unaniliza kaka walijua umu😭😭😭
2025-10-04 13:44:46
8
NDAKI jr :
Huo wimbo no bora sana unatia moyo sana
2025-10-04 12:00:29
6
happily :
Hujawai kuchuja kwakweli
2025-10-04 08:15:06
5
pinah🌺🌷 :
wimb wang pendwa sijawah choka kusikiliza🥰
2025-10-04 07:32:29
13
@ashleyofficial28 :
best song ever🙏
2025-10-03 19:55:29
8
Daus🦋❤️ :
Lazima niimbe kila siku 🥹
2025-10-04 10:32:37
9
Butterfly♓👑🩵 :
naupenda mno
2025-10-04 17:45:43
5
mamaaa :
me ndo wimbo pendwa wa mwaka huu 2025
2025-10-04 13:48:55
7
lastborn🤔😘🦁 :
niambien inaitwaje jamni 🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-08 17:37:41
0
afyatips18 :
Huu wimbo ni hauchoshi from January to december 🙌🏻wimbo wa mwaka huu🔥🔥🔥
2026-04-15 18:22:36
1
To see more videos from user @stevetobsmedia, please go to the Tikwm
homepage.