@.mrcaiza: @SAURAT TZ✅ #weddingtiktok #zanzibartiktok #zanzibarweddings #portaitphotography #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok

CAIZA BRAND🎥
CAIZA BRAND🎥
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 October 2025 13:12:02 GMT
203382
2279
337
393

Music

Download

Comments

ayshamallo
Mallozari🐪 :
Kama mshono tu hujauweza utayaweza mambo kweli wewe???😒
2025-10-04 19:03:09
117
mozamzee2
mozamzee2 :
ukiskiaa mshono na akili zimendanaaa ndioo huyu sasaa😆😆😆😆
2025-10-05 13:12:45
6
emmy.cute90
Emmy cute 😍 :
msimchambe mshono kosa la fundi na kuchez yote iyo amani ya moyowake muacheni atambe
2025-10-06 09:06:42
6
officialrealvibe1
only vibes🥰 :
mbn marangi hayaendani 😂😂😂
2025-10-04 19:00:44
8
fettyalkindy
️ :
Si monica wa kibibi huyu kwenye Huba😂😂
2025-10-04 14:43:02
31
user2393250530797
nobodyknow90 :
matching item
2025-10-04 22:37:04
5
ashermedymeddy
Ummu NafNakh :
watu kama hawa ndio wanafanya tusipewe ruhusa 😅😅😅
2025-10-04 18:53:36
35
acumen_24
Eugene♍️ :
Taarb inachezwa na uyo wa green
2025-10-05 07:22:06
78
asoya72
ALKEBULAN QUEEN(asyah) :
kivumbe kama mke mwenza yuko hapo karibu🤣🤣🤣
2025-10-04 18:53:56
6
saju.alabry8
h :
LEO NDIO NIMESHUHUDIA LIVE LIVE gauni Bahar kwa weupe mikono ya gauni lke gold sijui manjano mtandio chocolate any way bwana yesu asifiwe
2025-10-05 06:21:58
16
nuwayratmwannah
nuwayrat :
gauni la mixx by yas 🤣🤣🤣🤣
2025-10-05 17:24:34
8
armaina8
armaina :
huyu ni mshamba mmoja tu anakaa tomondo haudundwi sada chamen
2025-10-05 08:59:06
10
dydah29
dydah :
ila mbon me sijapend izo rangi ;kwan hakukuwa n rangi nyengn y kuwek n iyo blue🤣🤣
2025-10-04 15:15:32
29
chamama071
chamama :
Hana utulivu,hata huyo mama hapo anamshangaa
2025-10-04 18:08:57
16
zuhruu1
Mrs khamis :
mara nyingi watu wanasema ile rangi iliowekwa kidogo kwenye kitambaa ndio ya kumechisha ila jamani tuwe tunaangalia saa nyengine na rangi ya kitambaa
2025-10-06 06:54:58
5
mrs.saleh472
mrs saleh🥰😘 :
Sichokii kumuangaliaaa rahaa ya kutambaaa nyimbooo uijueee banaaaa hongeraa banaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-04 14:49:41
20
toumah_premium
Toumah premium collection :
monica kibibi hiii akiona hatapenda
2025-10-04 20:32:19
5
mum_shuu89
mum_Shuu89 :
Ona huyo mtu mzima mtandio wa kijani na busara zako anavyo mpiga jicho moyoni kma aseme we mtoto hujayajua maisha tulia 😅
2025-10-04 22:16:08
28
neera_makeup_artist
neera_makeup artist :
huyu ni mke wapili wa mpemba comedy pambe mashallah
2026-07-27 06:31:05
3
madame_me_parlor
shery :
ila jamani skuiz ukijiachia tu usharecodiwa kwann lakini tumekua hatuna uhuru
2025-10-06 09:31:11
3
sherrykhaly
Sherrykhaly :
Si uhamie bongo ukacheze singeli
2026-02-28 03:54:09
0
mrs.lee86
frozeler🥰😇 :
Bila shaka Ana mke mwenza huyo 😂😂😂
2026-02-02 08:02:29
2
asaamakame3
kuzo jr :
gani mtandio kitambaa cha mikononi sielew
2025-10-05 20:28:10
3
jkmmatisha
Queen matish :
Monica wapi boss kibibi
2025-10-06 14:21:50
2
saleh.kombo23
Saleh Kombo :
nimekupenda Bure dada
2025-10-06 13:23:29
2
To see more videos from user @.mrcaiza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About