kwa madhambi makubwa ninayo sijui kama Allah atanisamehe hata swala ambazo nazi swali sijui zakubaliwa au basi naomba muniombee msamaha Allah anisamehe jamani
2025-10-04 18:18:20
82
it's sudi :
Walai mimi natamani kufanya hivyo lakini nashindwa juu kwa sababu najua niko na makosa nilikaa miaka miwili bila su🙏🙏ala juu nilikuwa nimeolewa na mkristo na kwa saa hizi tuliachana so sitamani kurudia hayo makosa akili please naomba unisaidie
2025-10-04 16:47:05
36
smile g 😍😍🙏 :
Allah atujalie tuwe wenye kutubia kwake
2025-10-06 11:32:44
47
🌺Legit Que🌺 :
Yarrab tuswamehe dhambi zetu za siri na dhahiri😢
2025-10-05 16:51:31
43
Khutba Hmwinjuma :
waleykum msalaam warahmatullah wabaraqat
2025-10-11 12:14:12
4
Nokki_ki :
ya rabi tusamehe na utupe mwisho mwema
2025-10-05 06:20:52
16
BintiMwaka :
Asthaghafilulah Allahumma ghuflii warhamnii🥺🥺🥺
2025-10-04 16:17:40
26
🕌Abuuh Mu$£!m🕋 :
sijutiii darsa zako sheikh Akhi Nasri
2025-10-05 03:55:16
5
samiahmtulia :
😭😭mfano mtu ulimsema vbaya na haupo karibu nae wafanyaje hapo nli nae akusamehe
2025-10-05 08:07:58
6
Mohamed Suleiman :
swala tu fajir ina raka ngapi ahekh
2025-11-21 16:00:49
2
Suleiman Shamte :
nakupenda sana nishajuwa mengi kupitia wewe alhamdulih
2025-10-04 16:47:17
23
Sumayyh Rashid ♥️🇹🇿🇲🇬 :
Alhamdulilah nashulu mungu nahuyu hostazi sijuti kukufoolo najifunza vingi Sana mungu akulipe heri dunian na Kesho Ahera
2025-10-04 17:03:54
7
shek maa💵 :
shukran napenda sana mafundisho yako
2025-10-04 18:05:26
6
single and searching show 💜 :
Daah ya Rabii tunusuru sisi waja wako 🥹🙏
2025-10-04 16:14:03
23
lovely girl :
Nakama hujui kuomba kwa kiarabu
2025-10-05 06:03:06
7
user9043800103059 :
mungu atusamehe dhambi zetu
2025-10-30 07:20:27
3
halimakimwery :
kunawakati nataman kutubu ila nawaza je kurudia tena kosa lile lile😢😢
2025-10-05 19:53:35
0
rahma 🦋 :
je kama umefny mapenzi Usk wa ramadhan na hamjaoana unaweza kufny tobah?
2026-03-07 06:10:43
0
Amina Hamzah :
NAKUPENDA KWA ajili ya allah
2025-10-05 09:26:41
9
BIG MALEFT :
yaah Allah tujaalie mwisho mwema 🙏
2025-11-22 14:27:16
2
win :
Nashukur sana najifunza vit ving kupitia wewe shekhe
2025-10-05 08:34:44
4
mwa234 :
kama mywenye ulimzurumu amesasha kufa utafanyaje
2025-10-05 13:27:20
4
rashbeib :
sheikh Niko swali,,kama ulikuwa na deni ya Ramadan na ukafunga after like 7months before the other Ramadan,,,je,itakubalika
2025-12-02 20:47:42
0
Nassier 💫❤️🔥 :
ALLAH atusamee mazamb ye2
2025-10-08 20:36:35
3
🥰TURisti💕 :
kaka Janaba inahusu mtu hajaowa
2025-10-06 10:16:23
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm
homepage.