@zayvitambaa: Mashallah❤️+255757659119 ❤️Material:bahama mita moja 5000tsh ❤️dress 30,000tsh ❤️Tunapatikana jengo la tandika plaza frem no 26B #viral #fyp #batiki#vitambaa #fabrics
Ila wa Tz sijui ni ujinga au ninini…. Mtu kaandika bei, kaweka location na namba juu lkn bado wanauliza bei, uko wapi, sijui nini nini …. Eeeh kazi
2025-10-05 06:09:23
147
Matha🦋🦋🦋 :
mko wapi
mita moja bei gami?
how much kenya money
wholesale price
2025-10-05 04:28:16
0
Zayvitambaa :
Napatikana jengo la tandika plaza frem no 26B call/whasap +255757659119. Nguo kama hii 30,000 kitambaa kama hiki mita moja 5000tsh
2025-10-05 09:33:57
30
MWANA :
hizi ni cotton?
2025-10-05 06:13:12
1
hadija okech :
mnapatikana wap
2025-10-08 19:06:26
1
bby cute💋 :
dada nipenda hizi nataka za biashara na niko kenya naeza pata vipi
2025-10-05 09:23:29
7
Biba_jeuri :
unachelewa kufungua bhana
2025-10-05 03:31:52
2
Noela Junior231201525121994 :
nahitaji nko moshi mjini
2025-10-05 20:09:42
1
bahane :
mnapatikana wap
2025-10-06 12:56:55
2
maman Ibn yamine 🇲🇫🇰🇲 mfaw :
je suis intéressé vous livrer en France svp
2025-10-21 08:18:03
0
mwasi viroja point :
Nahitaji joho zima sh ngap
2025-10-05 16:23:29
2
Alinda Goodron :
naomb namb ako niwezu kukupta dada
2025-10-15 14:27:38
0
blitzer :
mi nahitaji kwaajl ya biashara sh ngapi jumla
2025-10-05 05:16:56
4
janetpatrick682 :
mko wapi na Mit moja shingapi
2025-10-04 21:16:20
5
fina_mkweli :
Leo nimekuja hapo nimewakuta vijana wako
2025-10-06 21:20:17
0
emmycollection18 :
Kwani nyie vipofo au hela hamna?? Uko wapi uko wapi yuko motoni basi ovyo kweli mtu kajoelezea bado uko wapi uko wapi
2025-10-05 18:09:52
4
ammylove438 :
Dada nakupenda saana unanguo mzuri saana 🔥❤
2025-10-06 14:49:03
0
Ng shawali :
mi Niko Uganda kama nakyitaka nafanyajje please
2025-10-06 11:18:10
2
Rehema Hassan :
pamban mamy kaz na utu 🥰🥰🥰
2025-10-05 18:45:19
0
tinatony09 :
VIZUR SANA
2025-10-06 12:09:37
1
agetha :
location
2025-10-17 10:09:16
1
Se_Lusasi..❤️👌 :
nikickia hii nyimbo namkumbuka mc wenu kachori cjui chokoli 😂😂
2025-10-06 06:49:39
0
Hawa saidi :
nataka kipenzi
2025-10-04 21:07:05
1
Naomi Home Decor :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila biashara za online zinajitaji moyo hivi kipi asichokieleza jamani mbona post inajieleza jamani hadi location mtu kaweka bei namba nn mnataka hakuna mnunuaji anamaswali kihivyo hakuna mnunuaji😏😏😏
2025-10-05 16:40:22
1
mrs🥰 :
unapatikana wapi mamy
2025-10-21 19:08:12
0
To see more videos from user @zayvitambaa, please go to the Tikwm
homepage.