Mzazi anahofia maisha ya mtoto mtoto anahofia maisha ya mzazi eeh mwenyez mungu tulinde 😭😭😭😭😭😭
2025-10-08 13:16:31
1909
black queen 👸 :
Ukion mwanaum analia bas jua ameumia 😭😭😭😭😭
2025-10-08 07:08:11
778
Ma mdogo Amina😂 :
Kipnd Niko advance nipata taarifa ya kifo cha baba yng sikuamini niliona Kama ni utani kuwa mda Ukifika ataamka but haikuwa hvy baba alilala pasipo kuamka nilirud nyumbn nkakuta washezika haikuw rahisi kukubaliana na Hali nilipomaliza 4m six tuu kabla ya matokeo akafariki kaka Ang wa pekee nyumbn niliyekuw namfata hapo ndipo nilipoamini kweli kifo kipo😭😭😭😭 nisiseme sana maana nitafuru Ila Alhamdulillah🤲🏽😔
2025-10-09 14:01:43
676
Jax Jastin🔥🔥 :
kama watu wako muhimu wapo hai mpaka sasa gonga like
2025-10-08 15:31:22
519
brayesther :
kama haujawahi patwa na msiba huwez elewa
2025-10-08 17:25:25
319
diana ndombah :
mwaka juzi nilimpoteza mama, mikojo ilikuw inapita2 bila kuuma, mwakajana nikampoteza mwanangu wa pekee😭 hii misiba haijawai kuisha kwangu😭
2025-11-05 21:55:59
188
Msoohsonny thrifts👖👜👗 :
Apo kwa kifo mungu ulituweza aki😭
2025-10-08 15:10:10
148
umi :
apa kwa kifo 😳mungu alituweza 😭😭😭😭
2025-11-07 05:51:48
3
carol :
poleniii
2026-05-02 10:37:56
0
Nicho :
pole sana
2026-08-03 14:52:52
0
kamimi store🫶 :
kifo sio kitu kibaya, ingawaje hatukipendi.
anaekufa hua haoni taabu kabsa katika kifo. tabu ni kwa wanaomuombolezea💔🙏
2025-10-08 16:22:04
5
husnahusna :
pole babaangu jamani umeniliza nasikujui😭😭😭 Allah akupe subra
2025-10-08 06:13:52
297
Jessy Kengete :
kama umewahi kulia kilio kama hichi lets hugs here🥺🥺
2025-10-09 04:39:15
161
African finest Products :
Mungu ikukupendeza chukua Samia amen 🙏
2025-11-06 20:16:26
98
MELKIZEDEKI "🥹🧎 :
KESHO NI YANANI KATI YANGU NA WEWE 🥺🥺 TUOMBE MWISHO MWEMA 🥺🙏🏻
2025-10-09 16:33:35
85
omary :
wakati nasoma nikiwa kidato cha pili bi mkubwa alinihamisha shule nilihamia kwa babu yangu alikuwa mwalimu mkuu wa shule ya sekondari niliohamia alikuwa mwenye upendo sana kuanzia nyumbani mpka shule kwa walimu na wanafunzi nilipofika kidato cha nne mzee aliumwa akafariki daah 😭 ule msiba watu walilia mimi binafsi yangu sikuwa najielewa sikuweza kuamini nilihisi amelala tu 😭😭hyo wiki nzima shule haikuwa na masomo, shule yote ilipoa wanafunzi wanaenda shule ila ukifika utahisi shule imefungwa ukimya ulitawala 😭😭😭😭😭kifo ni fumbo kubwa kifo kinaumiza 😭😭😭😭😭
2025-10-09 10:10:21
73
LIZZY BOO💦💤💓💞💟 :
Baba umenifanya nilie kwa uchungu daah pole baba angu
2025-10-08 16:34:58
64
side🇨🇲 :
nashindwa kuamini ety na huyu anaee soma hii coment ipo siku naee atakufa asee
2025-10-11 06:41:53
53
@ceecee🥰 ♍️ black beauty :
😔😔Kwa mara ya kwanza baba angu alilia mbele za watu pale aliposhindwa kurudi na mama nyumbani akabidi ampeleke mwananyamara kulala kwenye barafu alisema mke wangu kagoma kanyamaza kimya mama alijua kutunyoosha😭😭😭
2025-10-09 12:41:59
35
KRISH🔷 :
another day to cry with strangers 🥹
2025-10-07 23:58:37
34
🌹🌹❤️ :
Hii inanikumbusha mamangu alipofariki babangu alilia kwa uchungu sana….Eeh kifo jamani 🥺😿😭😭😭
2025-10-08 16:30:23
20
baby purity :
ngaiii he made me cry sorry 😭😭😭💔💔💔
2025-10-07 11:26:41
20
Jordan :
siku ya msiba wa baba nilipewa msalaba niubebe wakati wa mazishi 😭😭 jaman sikuwa na kitambaa cha kufutia machozi, maana machozi yalikuwa yanamwagika, nilisema mimi ni mwanaume Acha nijikaze rakin uwezi amini machozi yalikuwa yanatiririka kama maji😭 jaman msiba usikieni tu jaman nilikuwa sijawahi kujua maumivu ya msiba 😭😭😭😭 lala baba lala daaaah 😭
2025-10-10 10:43:54
16
🌨️💫Rukhayah mukhtar💫💫🇹🇿 :
pole baba viatu vyako havimtoshi mtu
2025-11-06 21:36:00
14
05054443344 :
BABA YANGU ATALIA KAMA HUYU BABA SIKU NIKIONDOKA DUNIANI ILA MAMA NDO ATAKUW NA PROBABILITY YA KUISHI😢😢😢MUNGU NISAIDIE WAZAZ WANGU WASISHUHUDIE MSI
2025-10-09 19:05:34
14
〽️r~future 🤍 :
Fikiria mtu mzima kama huyu kasha shuhudia vifo vya watu wake wengi sana lakn mpk unaona analia ivyo ujue ni pigo kubwa sana kwake
2025-10-11 10:52:04
13
juliusryoba29 :
Dah!!! Mungu nilindie niwapendao maana moyo wangu ni mwepes hautaweza kubeba machungu ya kupoteza😢😢😢
2025-10-11 19:44:32
13
Laura 🌹 :
Raha ya milele umpe eh bwana. na mwanga wa milele umwangazie. marehemu wote wapumzike kwa amani 🙏🙏🙏🙏😭
2025-10-08 18:00:35
11
Jeijaa :
Yesu wangu uyu baba kalia kwa UCHUNGU MPAKA BASI😭😭😭
2025-10-08 12:48:46
10
MAMA P 🇰🇪 :
ni vigumu mwanamume kutokwa na machozi na ukiona yanamtoka basi jua sindano imechoma deep pole sana bro
2025-10-06 13:15:44
9
joyness :
mwaka huu nimefiwa baba yangu ,nilipo pigiwa sm niliisi kama utani ila baada 6a kufika nyumbani baba alikua mochwari sikuamini nililia sana sanaaaaaaa
2025-10-10 13:13:26
9
linnah♥️♥️tz :
kila mwili utarudi mavumbini
2025-10-09 13:29:15
9
thom mayunga :
kupoteza tegemeo nikitu kinacho uma na kukatiza ndoto zamtu dah 😭😭😭
2025-10-09 18:11:27
8
Michael Boniphace601 :
Ni miaka 29 sasa tangu wazazi wangu wote wawili waiage Dunia ,Waliacha sina hata wa kujiogesha na sasa ni mtu mzima ..Kuna wakati nataman ninunue hata Kitenge au shati kwa ajili ya wazazi wangu ili wapokee zawadi ya mwanao lkn haiwezekani, Kifupi inauma sana
2025-10-10 16:56:40
8
Tgk ☺ :
mimi siku hizi toka baba yangu aniache ni kama aliondokaga na moyo wangu, silii kabisa msiba wowote nahisi nililiaga nikamaliza machozi yote 😭
2025-10-13 17:09:55
8
golden boy :
mzee kalia kwa uchungu sana😭😭😭😭😭
2025-10-09 08:39:32
8
BABA :
dar poleni saan ndugu zangu
2025-11-06 09:09:41
8
rachel faustine :
kwa mwanaume hii ni kubwa sana kwake daaaah poleee mzee wetu
2025-10-08 12:11:52
7
aggy ngereja :
😭😭 amenikumbusha msiba wa babangu omba yasikukute inauma sana
2025-10-09 06:35:02
7
mbudancer6 :
nmejikuta nalia kwa uchungu sana😭😭mungu tutie nguvu nyakat ngum zijazo ni atuzijui ila n ngumu kupokea na kuzikubaliii 😴😴😴
2025-10-08 20:52:41
7
ISACK LUCAS :
chozi la mwanaume si bure mzee kaguswa saba😳😳😳
2025-10-08 13:56:06
6
NICHOLAUS TZ :
matukio yasiyozoeleka ndo hayaaa😭😭😭😭
2025-10-12 14:27:59
6
Custard Apple 🍏 :
Nakumbuka nilipofiwa na mwanangu saa 6 usiku Muhimbili pale Jakaya ndo siku ya kwanza nilihisi upweke maumivu ya kufiwa niliyasikia yakipasua moyo, nilikua km nimechanganyikiwa mume wangu alinifata usiku huohuo wakati tunatoka naingia kwenye gari nilipiga ukunga nikalia kwa uchungu nikisema mwanangu tumekuja wote kutoka nyumbani leo narudi pekeangu kwanini umeniacha 🥺
2025-10-12 14:20:39
6
Remmy :
nimelia sana nkikumbuka kesho tunazika a friend ..Im so heartbroken heiii😭😭
2025-10-08 17:26:45
6
emmy🦋 :
nimejikuta nalia😭😭😭😭
2025-10-13 16:38:52
6
Sube Kichure :
kufiwa mtu wakaribu kusikie kwa mwenzako nimaumivu
2025-10-09 08:19:35
5
@Mc shedy :
Apo kwa kifo mungu alituweza😭😭
2025-10-11 12:59:54
5
harun lameck :
unapo amka mshukuru sana mungu kuna mtu hakupata bahati kama yako
2025-10-14 07:33:52
5
Joymie❤️❤️ :
Kifo kifo kifo nakuita mara tatu unatuumizaaaaaaaaaaaaaa
2025-11-22 18:11:36
5
Adam Benson :
mpaka uelewe huyu mzee alikua anamanisha nini nipale utakapo patwa na msiba
2025-10-09 09:14:13
5
Am Me💕 :
Jina la wimbo plz
2025-11-05 17:15:08
5
liz :
I miss you mom 😭😭
2025-10-12 16:43:26
4
To see more videos from user @denoohmapicha923, please go to the Tikwm
homepage.