@sabrinahija: 🥰👌 #food#zanzibartiktok#kenyantiktok🇰🇪#uswahilinikwetu

Sabrina Hija
Sabrina Hija
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 October 2025 07:16:13 GMT
91189
4199
433
335

Music

Download

Comments

chidmaaa
Slay with sarah 🥀❤️ :
Nlitaka na mm niolewe nkakumbuka swez kunyamaza wakati mwanaume anaongea nkaghairi 😂😂😂😂😂😂
2025-10-07 07:33:32
134
riversea16
unknown💞💛 :
nlifanya hii yote na bado nkaachwa🤭🤣🤣
2025-10-07 04:29:08
94
princespurple2
Princes Purple :
harufu ya birian plus udi mmh mtiham kwamgu
2025-10-06 14:58:39
94
mudrick.business.stories
Mudrick's business Stories :
Alaf mke awe anakupenda hatar wueehh.. Duniani utajiona peke ako😂
2025-10-06 16:29:38
62
mussahamis97
magulu90 :
nishawah kupata mchepuko wa hivi, bila msaada wa ndugu Wife angenisikiaga tu kwenye radio 🙌
2025-10-09 10:00:16
14
hzhyra
🦋 :
Wadada kabla hamjatamani haya hakikisha huyo muhalifu wako anakuachia pesa ya kutosha
2025-10-06 21:59:34
55
umm_seif_collection
Umm_Seif_Collection :
Huu kwang ni ushamba kabisa Kufukiza Udi kwenye chakula Noooo bas angalau weka pemben Lkn kwenye meza yachakula Oooh Noooooo
2025-10-09 18:34:03
11
medy6980
hustler👊🇰🇪🇹🇿 :
sasa tunakula chakula au moshi
2025-10-07 12:20:18
19
me_malice1
Queen_malice💜💜 :
nilijifunza kupiga hadi pizza 🍕 nabado akaendraa.😂😂 piken tu
2025-10-06 18:32:53
9
cute.mwana758
cute mwana😍 :
nyie m ndo cku atarudi saa 6 au alfajiri🥺🥺
2025-10-06 14:55:09
11
abu_khaleed01
Abu_Khaleed01 :
YANI DUH NDOA SONGEA KARIBU KWANG😫😫 UNAKULA HUKU KUNANUKIA UNAKAA UNAMWANGALIA MKEO TUH UNATINGISHA KICHWA AAAWWW MAMMY😫🥰😁
2025-10-06 20:49:30
8
saidmajaliwa_
سعيد :
mke wangu mtarajiwa kama hatoweza kupika kama hivi ndoa hakuna😂😂😂😂
2025-10-08 16:10:29
4
anubaba_001
anubaba🐼 :
Rafki yangu msukuma alioa kwetu tanga, akafanyiwa huu unyanya akasema anarogwa🤣🤣🤣
2025-10-07 09:50:06
5
ixsa21lugumi
ixsa21lugumi :
Alf kuna msenge anaamua kuwa shoga hataki kuoa
2025-10-07 05:42:08
8
deedahofficial
dyda_34 :
apo unaeka na juis mambo yanakua lelele
2025-10-06 14:45:56
14
armanjunior24
Arman Junior 🇨🇵 :
nikopeshe mahar nikuowe 😏😳
2025-10-10 16:33:03
3
ummuzunairah
lozzy kitchen 🥗 🥘🍔 :
mashallah mwanamke tungo na tungo zenyewe ndio hizi sas🙂🙂bwana lazima ale halaf akale tena🔥🔥
2025-10-06 15:22:56
7
mccamybey
mccamybey :
mashaa Alllaah Allah anijalie mume mwenye kheri zake muadilifu nimfanyie kama hayo na zaidiii yampendezayo yeye na Mungu🤲🏾wet🥰🥰🥰😋..kataarab nako pambe
2025-10-06 19:09:31
6
_aliy_70
Ali :
inshallah one day🥰🙏
2025-10-06 12:00:46
8
azzakassim2
azzakassim2 :
kwa mwanamume anae jielewa amekuachia pesa ya kueleweka ndio umuandalie hivi sio amekuachia 200 ama pia hakuacha 😏
2025-10-08 16:42:45
3
mtumwahamidu
mtumwahamidu :
Ni vizr kufukiza nyumba nzma lkn inapendeza sn mume akickia harufu ya chakula huipta na ile ladha halis lkn akickia udi anahic km ni chakula kinanukia
2025-10-08 17:05:06
3
nadra1_
Official_Nadra🌟🧸 :
Hhh ndo ueke udi kwenye chakula urembo mwengn🤣
2025-10-07 18:11:20
4
yshaa843
yshaa :
😂Kwan ni hotpott eee em ntoe ushamba mbn pambe
2025-10-07 17:56:32
0
kawjeyna
kaw❣️🌹 :
uwo udi gani maan napenda 🥰
2025-10-16 18:29:38
0
idriss_ussein
Idriss Abdullah :
mungu nipe kam huy😢
2025-10-06 15:55:55
3
To see more videos from user @sabrinahija, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About