@desuza_cosmetics_tz: MARINA GLOW OIL🔥🔥🔥 📌it is a very good oil from philippines ,Guys kama tunavyojua philippines hawanaga kaz mbovu test this oil then you will thank me later 📌wanaotaka kungaa ipo vitamin C&E 📌wale wanaotaka kuglow na kunga mwili mzima 📌inakufanya unapata rang moja mwili mzima 📌inaondoa madoa 📌inasaidia kuondoa michilizi 📌Hii kwa watu wanaokaa kwenye sehem za baridi ndo oil yenu hii don't miss it Bei 35,000 Tunauza jumla na reja reja Tupo kariakoo big born sheli

DESUZA_COSMETICS_TZ
DESUZA_COSMETICS_TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 October 2025 07:47:58 GMT
73950
1592
153
247

Music

Download

Comments

sisterj888
@sisterJ accessories :
mbona wengine wanasema atupaki usoni? Sasa inakuaje hii
2025-10-14 01:08:25
3
ms_leah55
Official leah🥰😘 :
Jaman huwezi niambia nikakuelewa kuhuc hii marina body oil uwiiii 🙌🙌🙌 nilikuwa nina michirizi kama totoro za panya,😭 nashindwa mpaka kuvaa gauni fupi na sketi 🥰 ila now ni moto na nina week tatu tuu toka nianze kutumia 🥰🥰🥰 🥰
2025-10-14 17:57:29
11
mama.amayra06
MAMA AMAYRA :
bei yake ni shilingi ngapi
2025-10-06 08:54:56
2
renaldi.gidion
Mankaa :
jaman marina inaondoa michirizi naushuhuda michirizi inafifia mwisho inapotea alooh marina ni balaaa
2025-10-06 16:10:19
6
mariamuog1
mariamu :
mie mbona natumia na ainitoi
2025-10-14 13:39:45
10
doric5750
Doric ♐ :
Mimi michirizi imepunguwa ila imenipa vidoti vyeupe sijui nifanyeje
2025-11-28 09:00:38
2
aaliyahans1
عالية❤️💜 :
Kama ww umesema basi ntainunuaa🥰
2025-10-07 15:38:52
0
sarahstephen737
Sarahstephen :
Nahitaji
2025-10-16 07:36:14
0
goldenpetalsperfumedodom
goldenpetalsperfumedodom :
Mimi pia naushihuda n haya mafuta tena michirizi ilikua ya uzaz lkn kwishaaa
2025-10-08 08:00:08
1
princessmunish2
princessmunish2 :
Dada kati ya marina oil na Glow plus oil gani mzuri ya kutibu michirizi
2025-10-12 14:17:40
1
sanifakimaro2
sanifakimaro4 :
Naomba namba
2025-10-09 09:58:57
0
user3608144490735
idaya ommy :
mbona nazidi kuchanganyikiwa lakn
2025-10-07 19:36:14
4
elizabethg183
Mrs G :
uongo mtupu nyie uzen tu
2025-10-07 04:38:43
4
user6747927205491
user6747927205491 :
naomba namba
2025-10-08 13:45:38
0
movex85
movex :
mwenye haya mafuta Dodoma nakuomba na namba zako na location
2025-10-08 12:34:33
0
klinecollectiom
Raiyyan_fahmy :
natumia final glow vip naweza kupaka naiyo malina kwa juu
2026-03-09 14:28:22
1
bosco_cosmetcs
vipodozi org :
30k njoo😅
2026-01-02 09:26:09
1
sanifakimaro2
sanifakimaro4 :
mko wapi
2025-10-09 09:30:14
1
1992zk3
1992zk3 :
Ninayo mishirizi mingi sana nitaipataje niko congo
2025-10-08 19:46:20
0
ester.juma47
Ester Juma :
bas naomba namba
2025-10-07 09:04:17
0
user69186938226436
user69186938226436 :
Nahitaji ninayo mingi sana nipo zanzibar
2025-10-08 10:11:42
0
jack.malkia
jack malkia :
jamani mm michirizi haijatoka ila ngozi yangu imekuwa nzuri sn
2025-10-10 11:09:41
2
.babra7
🥰 babra❤️ :
Nishaitumia san lakin haikunidaidia chochote
2025-11-25 05:59:27
1
sarahemanuel51
sarahemanuel51 :
unapatikana wap
2025-10-07 02:50:48
0
fey040707
Fey🦋 :
Duka lako lipo wapi dear ? Na unapaka yenyewe tuu na unachanganya na kitu au Kama ilivyo inaleta matokeo ? Na michirizi ukipaka hayo mafuta inachukuwa mda gani kuona matokeo?
2025-10-27 06:08:04
1
To see more videos from user @desuza_cosmetics_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About