ila unajua kuwa assioimia nyingi wanapotegezwa superheroes wanategezwa kw mfumo wa superman ila tu kuna vitu kaza ndo wanabadilisha tena vichache 💯💯💯
2025-10-06 15:45:53
12
CHARLES COSMAS :
TUKIWA TUNAONGELEA FINAL FORM ZA WOTE SUPERMAN ATASHINDA KWANI SUPERMAN 1 MILION IS SOMETHING ELSE
2025-10-23 14:19:41
4
_.gattuso :
Namkubali Superman ila SENTRY mmmmmhhhh,Hapa superman anakalishwa no matter Version gani.Sentry bhna mmmmmmmhhh mhhhhhhhh
2025-10-13 19:06:00
0
Milton🧸 :
Kaka kama thor anaweza kumpiga sentry superman kwann ampige thor???
2025-11-13 17:52:45
2
Savio_21 :
Spider man vs Sentry??
2025-10-06 19:41:10
0
Nizzo Pentacular :
ila kaka mbn unaingizia version nyingine ya sentry kwann usilinganishe na powerfull version ya superman?
2025-10-06 19:27:53
2
CARLY✗• :
ikaris waa (eternals) vs superman vs homelander (the boys)
2025-10-12 00:39:23
0
I Love You :
naomba kuulza mzee baba ,nlwah skia mahar humuhumu tiktok kwamba Thor anaeza mpga Zeuc kwmye mapambano,,n kwel,na kama n kwel,,ina mana zeuc anapgwa na Thor alaf Thor anapgwa na superman alaf huyo huyo superman anapgika kwa zeuc 😅😅cjaelewa apa em nsomeshe vzur
2025-10-06 18:13:02
1
ck_ommy💀🚩 :
Huyo kwa lobo chap anakaa
2025-10-11 15:15:45
0
Bmalik :
ivi unajua kuwa mfumo wa super man anavyo zaidi kukutana na changamoto kubwa ndo anazidi kuwa nanguvu kubwa
2025-10-08 21:27:35
2
besty :
uyo sentry anapatikana kwenye movie Gani?
2025-10-11 06:25:47
1
shebyngaoma :
lakin super man alipigwa na but man na speed yake hiyo hiyo
2025-10-15 07:44:53
5
NGIDO DEFAO :
sentry anaweza kuinua dunia 😂
2025-10-14 10:36:17
0
La Pioche🤴 :
sentry anapatikan kwenye movie gn
2025-10-06 18:23:31
0
George Oscar🌀 :
nataka kujua kuhusu zack synder maana kwenye superman vs black Adam atakuwepo
2025-10-06 16:05:45
0
CHARLES COSMAS :
SENTRYY HAMUWEZI SUPERMAN
2025-10-23 14:04:06
0
Troy007 :
nani mweny nguvu zaid kati void wa sentry na null wa venom aka king of void🤔
2025-12-01 19:23:18
1
𝕫𝕖𝕖𝕕 :
alaf bro min sidhan kama sentry akipelekwa ndan ya juwa atabaki
2025-10-13 21:19:09
0
Rams fadd :
hivi mnajuwa superman😂😂
2025-10-12 07:43:49
0
JS ELECTRONICS :
Kaka Naomba ya moon Night nae maana kwenye Marvel Zombe nimemuona
2025-10-06 15:42:02
2
K€N¥Z_TT🩵❤️ :
sentry ndo god of void 😁
2025-10-09 03:50:50
1
Balozi Laden :
pamoja na yooooote Superman anabaki kua the best 😁😁
2025-10-06 18:03:29
1
G7 :
mpeleke uy sentry kwa thor
2025-10-14 06:04:58
1
To see more videos from user @tidiwa2, please go to the Tikwm
homepage.