@dr.fathy.saidi: Replying to @iqra ally MRUDISHE ALIKUACHA KWA ZARAU AU KWA ASIRA KWA KUTUMIA KARATISI CHUMVI NA MAJI YAKO TU, FANYA IVI UTAKUJA NISHUKURU ATAKAVYA RUDI KWAKO NA MAPENZI TELE. #fathysaidi #salt #usa_tiktok #australia #canada_life🇨🇦
Dr Fathy saidi
Region: ZA
Tuesday 07 October 2025 07:16:41 GMT
Music
Download
Comments
CLement Joseph :
Chumvi ya mawe au ya unga
2025-12-07 08:40:46
25
charmante :
chuvi yamawe
2025-10-07 07:42:18
25
jack@❤️ :
kama unaamini mungu ndo kila kitu katika maisha yako gonga like
2025-10-22 19:03:01
474
❤️✨mkamba mfine🇬🇧🎀✨💫 :
nashukuru nilifanya hivo na akarud thanks 😊🥰🥰
2026-02-20 13:47:33
85
@ simple kid ke🇰🇪 :
wacha chochea penzi likisha limeisha wafwasi wa Allah tujuane na red lov❤
2025-10-09 06:22:48
357
Patrisha ♥️ :
Me nahitaji dawa ya mtu awe mbali Nani nimemchoka jamani please nisaidie💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭
2025-10-07 07:31:04
90
Roda John :
dada nisaidie mme wangu apunguze kunipiga
2025-12-04 09:47:13
6
SYSTEM MBWENI JKT :
Wanawake Wachawi Kwakweli Kila mwanamke anataka dawa ili turudi yaani ndio hivyo haturudi hata dawa hizo
2025-10-08 21:07:40
23
W@G@DUGU.🇹🇿💦 :
Nimuite mara Saba kwani yeye ni KASONGO.
2025-10-08 16:34:15
10
♥sharifa Daughter :
me yakitunguu imenisaidia kwakweli
2025-10-07 18:49:28
6
tin@h :
Mimi nataka anichukie ju nimechoka tabia zake yaan awe mbali na mimi
2025-10-07 08:35:37
18
rey :
unaandika nn sas matako yako au
2025-10-21 14:08:34
5
_african_princess_001 :
naandika nini
2025-12-07 21:45:02
6
salhastatham :
sasa unaandika nn kwenye hio karatasi??😁
2025-10-07 14:29:42
11
Cn Stein 🏌️ :
watu tunakosa chumvi ya kuungia mboga kumbe mnazichezea kujifunzia uchawi
2025-11-17 09:33:47
5
Mazzy🫀 :
wangu kila day anaswali na yuko na mungu atarudi kwel😂
2025-10-09 14:35:46
12
PJM ❤❤❤ :
unaandika nini hapo kwenye karatasi nyeupe?mie nataka anipe hela nyingi
2025-10-08 12:20:41
20
Stellah odinga@1234 :
km unaamin mungu
2025-11-07 15:53:20
5
Fatuma shaban :
mi mwenzenu nina gundu mwanaume nikimfanyia dawa anapeperuk kbs ila nikiacha tu analud na mda anae kuja simtak daah 😂😂😂
2025-10-08 15:37:53
10
Martinez :
uchawi kila mahali yani ukoseshe mtu amani
2025-10-07 11:35:26
11
🪬🪬Miss🧿 Jemai M🧿🧿🇰🇪❤️❤️ :
wakuenda aende wakudumu adumu ama
2025-10-08 11:08:34
5
Shuu hatun ❤️🦋 :
Kama ninao 4 kila mtu namfanyia hivi 😅😅
2025-10-07 18:07:05
15
mwende 🥰 :
kwani atuna shida zingine mnaeza tusaidia...? kila saa wapenzi tuu
2025-10-08 12:44:46
8
Amina Iddy :
Chumnvi ya mawe au ya unga na unaandika majina yake au
2025-10-09 15:47:46
5
mamu cute♥️♥️ :
Mimi mume wangu kanikimbya hata simu hapoke naomba musada wako dada
2025-10-07 20:03:00
6
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.