@muhammadphonestechnology: 📱 ELIMU KIDOGO KUHUSU TECNO SPARK 40 Kama unapenda simu nzuri, yenye kamera kali na betri isiyochoka, basi Tecno Spark 40 ni moja ya simu unazopaswa kuijua 👇 ✨ 1. Muonekano wa kisasa Imebuniwa kwa umbo jembamba (7.67mm) na kioo kikubwa cha inchi 6.67, chenye mwanga mzuri hata jua likiwa kali. ⚡ 2. Kioo cha 120Hz Hii inamaanisha kila unaposcroll, kucheza game au kuangalia video, inakuwa laini bila “kukwama”. 📸 3. Kamera ya 50MP Picha ni kali, hata usiku! Inatumia teknolojia ya AI kuifanya picha ionekane kama ya camera kubwa. 🔋 4. Betri 5200mAh + Fast Charging 45W Inadumu muda mrefu na inachaji haraka sana — dakika chache tu, simu imejaa! 💧 5. Inastahimili maji kidogo na vumbi (IP64) Hivyo si lazima uogope matone ya mvua au vumbi ukiwa kazini. 🎧 6. Sauti na utendaji bora Inakuja na spika mbili (dual speakers) na processor ya Helio G81 kwa speed kubwa — hata kwa game nzito inafanya vizuri. 📍 Kwa kifupi: Tecno Spark 40 inakuja ikiwa na Ram8 Storage 128GB ni simu ya kizazi kipya yenye muonekano mzuri, kasi, kamera bora, na nguvu kubwa ya betri. Inafaa kwa wanafunzi, wafanyabiashara, content creators, na mtu yeyote anayependa ubora kwa bei nafuu 💥 Zinapatikana dukani kwetu Muhammad PhonesTechnology kwa💰Tsh295,000/= tuu ☎️0753 216 336 📍 Tunapatikana 1️⃣Njombe Mjini barabara ya kuelekea ccm wilaya mtaa wa mafundi kushona 2️⃣Dar es salaam Kariakoo Msimbazi na Masasi #TecnoSpark40 #simumpya #BeiRafiki #muhammadphonestechnology #earnmoneyonline

Muhammad Phones Technology
Muhammad Phones Technology
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 October 2025 08:25:29 GMT
6439
113
8
15

Music

Download

Comments

berby864
MARY _💫🩷💃™️ :
bei
2025-10-21 12:19:34
0
itsteddy76
Teddy Tarimo :
bei
2025-10-23 12:21:30
1
amadoukebbeh7
A.k mobile phone 🇬🇲📱 :
🥰🥰🥰
2025-10-07 10:26:44
3
To see more videos from user @muhammadphonestechnology, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About