@mauabahari: Replying to @Freubeniiii20 👩🏾‍💻😎 KUNA MAMBO NI MAGUMU SANA 😌. #temporalpost

🐎Mauabahari🐎| AUDACITY
🐎Mauabahari🐎| AUDACITY
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 October 2025 10:01:28 GMT
12398
654
78
59

Music

Download

Comments

dehans_queen45
sabi girl :
sasa hii uchawi wanasomewaga kwa kiarabu au neno halafu wanaanz kulia wachaw je hii ikoje
2025-12-29 13:26:52
0
krs_beauty
krs_🌼 :
Na hata kwenye dini uchawi upo waje wanipige nipo hapa 😎tena ni mbaya mno (wanajificha kwenye Mungu kajibu maombi)
2025-10-08 11:46:39
4
chibigas3
Mkata switch ⚡ #04 :
Kuna "WHICH"=gani/ipi, na kuma "WITCH"= mchawi, sasa wew una changanya dada yangu sio WHICH CRAFT ni WITCH CRAFT ambayo inasimama baada ya UCHAWI na sio WHICH CRAFT kwa maana ya uchawi gani/upi. hapo umetupanga 😂😂😂😂
2025-10-08 17:24:34
3
emman_logic
Emman Logic :
vip dada October tunatoka?
2025-10-08 11:06:29
2
mbebizeticha
𝐌𝐛𝐞𝐛𝐢 𝐳𝐞𝐓𝐢𝐜𝐡𝐚 👊 :
💋💋💋
2025-12-29 13:56:44
1
mjuja.alemo
Mjuja Alemo :
ila dada Maua Et kama Nini Malizia tu haya kuhusu 🤔🧠🧿😂😂🙌🏿🔥
2025-12-27 13:16:45
1
josephatmgani
Joe :
me nadhan uchawi kutumia energy kwa mabaya na energy inayotumika kwa wema ni uganga wa kinyeji na kanisan
2025-10-18 18:54:26
1
quizmaah
user1148737823327 :
neno WITCH maan yake n mwanamkee kwahiyo witchcraft ni mchawi mwanamkee na WIZARD au WARLOCK ni mwanume soma vzur dada
2025-10-11 16:31:36
1
quizmaah
user1148737823327 :
sio whichcraft ni witchcraft unafundisha vitu hujui yaan watu wajuaji sana africa tatzo njaa inatusumbua
2025-10-11 16:27:26
1
ghaninova3
Madam Neeli 🦋 :
mi naona wazungu ni wachawi au nimashetani kuna siku nilitaka kufundisha chuo mlango wa sita wa faham juu juu walikuja hafla na watu walipandisha mashetani sannaa. ila nilijua walikuja kwa sababu iyo baada ya apo nilijua siri nyingi sana
2025-10-08 16:33:26
1
linahsabaspaul
kaylin _Stor😍 :
Asante sana,lkn bado Maua, jibu kwa ndani nielewe zaidi,mf.kuna kanisa Moja much wao alikuwa anajikuta amelala nje wakati alilaka ndan,akaita mganga akazindika kanisa ,na akwa safe,je hii ikoje???
2025-10-08 13:06:42
1
magari.tz
Gari yako fahari yako :
dada naomb kufaham kuhusu illuminat
2025-10-10 06:40:55
0
missdior919
miss dior🧿 :
❤❤❤
2025-10-08 10:15:00
0
kingmachokaa
Simith :
Maua kwan huyo ujaemwita mungu wako yuko wapi? Nijuavo mm mungu n mm/wew (Energy)
2025-10-08 12:39:34
0
jaliluisack
Jalilu Isack :
Zungumzia kuhusu kuhusu rasta man kwann watu wengi wa mambo ya kiroho mnapenda rasta na izo simbi ulizo zifaa shingoni
2025-12-20 12:15:24
0
massy.rich
Massy Rich 🎶🎼🥁🪉 🎻 ♊ :
Good side and bad side nuru na Giza ila uchawi upo
2025-10-30 04:17:48
0
user2242612271065
pappayake mafresher :
ukosawa dada bigap nikonawewe
2025-10-24 20:51:54
0
gilbethmanywele
gilbethmanywele :
@
2025-10-20 15:53:58
0
dumana98
Dumana98 :
samahan weka setting ya kusev vidio to device
2025-10-14 17:49:40
0
quizmaah
user1148737823327 :
aina za uchawi ni 1.spiritural magic 2.illusion magic 3.hexing magic 4.Natural magic 5.White magic 6.Black magic
2025-10-11 16:33:57
0
wiawani.com
Dr.Eddy👁️🇹🇿🪬🔱⚓ :
upo vyema ,ila daah ,..hofu ya Nini Tena jmn 🔥 ...au itakuwa ni kipindi tu Cha mpito kilichotuvuruga tangu MWEZI august tu 🤠🙌!? stay strong and blessed
2025-10-08 13:58:39
0
hazlavoice
Hazla The Voice :
🙏🙏👏👏
2025-10-08 14:18:30
0
subiraeli
subr🇹🇿 :
we huwa una mafua kila siku🤔??
2025-10-10 11:15:23
0
user6360099278719
user6360099278719 vickymo :
usigope😁😁aura kubwa
2025-10-08 16:22:51
0
gekondo7
gekondo :
kwaio kumbe na wewe dada nimchawi uwiiii!
2025-10-09 20:46:13
0
gekondo7
gekondo :
Dada mbali na haya mambo unayoyazungumzia humu ila me nakpenda saaana nikotiali kufa kwa ajili Yako Amin usiamini!
2025-10-09 20:38:50
0
richard.gakutwa
Richard 🇹🇿 :
Technology is not spiritual, this is just a dull conceptualization based on ur own opinion... Grouping Techy ideas and witchcraft doesn't add up... hakuna maelezo ya kutosha hapa
2025-10-09 16:49:34
0
evvy3493
Evvy :
Nataka huo wa kiakili sasa
2025-10-09 15:42:41
0
daudahynah
daudah :
nakupenda Sana
2025-10-09 13:03:47
0
gerald5581
FINDER,,#🦁🧿 :
na miujiza je? Ni science na IPO kwel miujiza🤔
2025-10-09 08:18:42
0
ilhams271
ilham :
umeeleweka kama now tunavyopaa angani kwa ndege na kufika haraka kuliko kawaida huo ni uchawi ambao ule wa asili ulofichwa pia tunasikia watu wanapaa na kufika sehemu kwa muda mfupi.mfano series ya merlin alikua mchawi mzuri na humohumo kuna wachawi wabaya na watu walimpenda merlin ingekuja kwenye maisha halisi tukaona basi kuna wachawi wangekua mastar na mashujaa na kuwapenda
2025-10-09 07:51:56
0
user8812383003877
alex :
bad ujasema
2025-10-09 06:35:45
0
diulaso
diulaso :
uliwahi kusema kwamba kuamini ni kua na mashaka yani kutokua na uhakika.sasa naona unasema mungu wangu.hebu fafanua unamjua mungu au una mashaka
2025-10-08 18:26:16
0
fruben21
Flowers 💐 :
Asante sana Da Maua 🥰vipi kuhusu misukule
2025-10-08 18:00:39
0
vaidoctor3
mariamu :
mm nimekuelewa sana
2025-10-08 14:23:29
0
tiktok.commyomba
SOFTCOPY & :
nashukuru kwenye uchawi sikudai ila kwenye misukule hapa madame. misukule wanaitoa wapi je nao miili yao inakufa?
2025-10-08 16:43:58
0
adelove583
adelove583 :
it's witch sio which 😔
2025-10-08 15:04:46
0
To see more videos from user @mauabahari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About