mambo ya jpm alisimamia vizuri Kodi zetu tulikuwa na Imani nae
2025-10-09 06:12:28
3
Notorious :
hilo daraja bila kutafuta sifa zingine palifaa kuwe na picha moja kubwa sana Jpm lakini kwakua wapenda sifa ndio wanaoongoza usukani kila nguzo ya taa kuna picha zao wanamsahau alieamua kujenga hapo na kuua biashara ya ferry
2025-10-10 11:29:25
1
Tomm Togo :
mbn wagombea wengne hawabandiki picha apo darajan?
2025-10-09 14:38:41
0
sangaabel :
mbona hamna picha za magufuli?
2025-10-14 17:06:51
0
emanuelrK47 :
Rip 🪦 magu
2025-10-10 18:04:46
0
kenkimtai :
dalaja ni la pombe magufuli na picha Kila mahali ni mama mama ...
2025-10-12 14:36:25
0
The Paul :
Kila mahali ni mama, mama,mama, mama 🤣🤣🤣
2025-10-10 10:55:55
0
MauriceAbel :
lakini Tanzania wako na shid I swear 🤣🤣🤣
2025-10-10 18:05:17
1
thomasjr :
rip baba magufuli jembe la taifa
2025-10-09 13:16:14
1
erca1982 :
Kwani wapinzani hawaruhusiwi kuweka mabango 😂😂mi naona sisiyemu tu
2025-10-10 10:21:39
1
Kelvin Maswaga :
😂😂😂😂 hata sijui nacheka nini
2025-10-10 04:24:39
1
mopalmo :
haya mabango tunapiga moto tarehe 29
2025-10-10 05:23:38
0
KIBIKI FAMILY :
wamesahau picha
2025-10-09 05:45:26
3
ROADLIFE TZ. 🛣️ :
Leo nmecoment wa Kwanzaa 🙌🙌🙌
2025-10-08 16:59:12
1
AYUBU HAROUNE :
mama anajipendekeza kwa wananchiiiiiiik
2025-10-10 11:58:11
0
To see more videos from user @peshyluv, please go to the Tikwm
homepage.