@samsonmbembela1: Watu wengi wanahangaika kutafuta content ya kupost kila siku, kumbe siri ni kuanza na kile watu tayari wanapenda kuona. Usijaribu kubuni kitu kipya kila mara — anza kwa kuchukua idea ambazo tayari zinafanya vizuri, kisha ziweke katika mtazamo wako wa kipekee. Hiyo itakusaidia kukua haraka na utaokoa muda. Kama account yako haikui au haujui nini cha kupost, nitumie message tuangalie wapi tatizo lipo na jinsi ya kurekebisha.

Samsonmbembela
Samsonmbembela
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 October 2025 17:38:50 GMT
5532
137
6
3

Music

Download

Comments

miraji_10
Miraji_ 10 :
Ahsant kaka
2025-10-08 17:53:17
0
allyfadhili200
alpha viwaya :
😳
2025-10-14 16:02:18
0
allyfadhili200
alpha viwaya :
😁
2025-10-14 16:02:17
0
allyfadhili200
alpha viwaya :
😂
2025-10-14 15:51:39
0
elia.emanuel2
Singida comedy :
😁
2025-10-10 07:31:23
0
fatma.nurta
bidan qurux :
🥰🥰🥰
2025-11-21 14:36:36
0
To see more videos from user @samsonmbembela1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About