@ilmtvkenya: Alhamdulillah, masheikh wamewasili salama katika Kaunti ya Migori kwa ajili ya kujiandaa na kongamano kuu. Je, wakaazi wa Migori mko tayari? 🎥 Tazama Ilm TV mubashara ili uelimike na kufaidika na mawaidha. #ilmtvkenya #sheikhsaidbafana #kenyantiktok🇰🇪 #migori
We would like to extend our heartfelt gratitude to the Sheikh who visited us in Migori. We truly appreciate there time, effort, and dedication. There visit was inspiring and enlightening, and we have gained so much knowledge and guidance from there teachings. May Allah reward them abundantly.
2025-10-12 16:58:47
1
Saadhia Abdullahi :
mashaallah shekhe wetu saidi bafana
2025-10-10 11:01:44
3
Robbinplatinumz :
Sheikh Said Bafana 🥰, Masha'Allah 💯
2025-10-10 11:43:27
1
young harmonize :
marshall
2025-10-13 09:58:26
1
sumeiya Ally :
ASSALAM ALEYKUM USTADH SAID BAFANA NAOMBA MNISOMESHE DINI
2025-10-10 15:07:12
7
AH safe uganda Engineering :
sheik said bafana , respect from uganda , Ma asha Allah
2025-11-27 16:28:59
0
kamal twaha :
kuna mtu hapa na ni WA rongai alinithulumu pesa mingi.
2025-10-10 20:23:56
1
queen bashka 🇸🇱 :
mashaallah ❤️❤
2025-10-10 07:36:29
1
Aisha Jabir🧐💖 :
allah wape maisha marefu
2025-10-11 13:17:00
1
kilio cha haki :
Assalam Aleykum,namba ndugu zangu mufike mpaka ugenya west ratado, InshaAllah.
2025-12-05 17:38:49
0
Rifai_Sheykhan :
Allah atuhifadhie na awape umri mrefu 'Ulamaa wetu🙏
2025-10-10 16:18:04
1
abdallah_ramadhan :
MashaAllah ❤❤❤
2025-10-12 11:31:08
0
Triple AAA :
MashaALLAH come back again and again
2025-10-28 17:32:58
0
zelly0011 :
Mashaallah
2025-10-26 08:23:13
0
Abdullah Yunus :
karibuni kwetu Migori
2025-10-15 11:30:24
0
fardous filsan 100 :
mashallh
2025-10-15 11:30:32
0
Mrs ismah 🌷 :
mashaallaaah allah awape umri mrefu mashekhe zetu
2025-10-12 12:45:43
0
M.P_.Co.Tz.Gemal.Ttcl :
Khairil, khairil, khairil shekh. 🥰🥰🥰
2025-10-10 07:14:29
0
Oscar Mwenda :
mashaallah
2025-10-11 18:01:36
0
Bin Njomo :
mashallah migori Dala
2025-10-11 14:22:23
0
ukhty salmah :
shekhe saidi bafana allah akulipe kher nyingi wallah manshallah 🤲🤝