@vijora_pambe_kariakoooo: VIJORA PAMBE KARIAKOO Tunakuletea madira ya aina tofaut tofauti kutoka kwetu, pia ni wauzaji wa kubwa sana wa madela nchini TANZANIA na ni wawekezaji wa kubwa kwa wateja wetu. kwa aina ambazo tunazo ➡️VIJORA VYA MTANDIO ➡️VIJORA VYA BATIKI (ndogo) ➡️BATIKI BUDERI KUBWA ➡️MSOMARI WA INDONESIA ➡️BAHAWENI ➡️VIJORA VYA MTURUKI ➡️VIJORA VYA ABAYA ➡️BAHAMA STONE ➡️ABAYA NK_____________ USISAHAU KUW SEHM NI MOJA TU AMBAYO UTAWEZ KUJIPATIA BIDHAA BORA NA ZA KISASA KUTOKA KWETU VIJORA PAMBE KARIAKOO. KWA SASA Tupo kariakoo MAKUTANO YA AGREY NA NYAMWEZI JENGO LA ILOMO TOWER ukifika hapo basi umefika mteja wetu. kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia namba 0789819830 ONY WHATSAPP au 0757400770 IPO WAHTSAPP NA SIMU ZA KAWAIDA. "UWEPO WAKO NI DHAHABU KWETU" #vijorapambekariakoooo #vijorapambekariakoooo @vijora_pambe_kariakoooo karibuni sana. #vijorapambekariakoooo #vijorapambekariakoooo @vijora_pambe_kariakoooo karibuni sana.

VIJORA PAMBE KARIAKOOO
VIJORA PAMBE KARIAKOOO
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 October 2025 10:39:02 GMT
83008
476
25
72

Music

Download

Comments

user9027675959784
user9027675959784 :
hii anavaa mpaka kobis
2025-10-10 21:00:27
1
kuchbiter
kuchbiter :
naitaji hiyo rangi
2025-10-18 11:43:09
1
recho.john.manyil
Recho John Manyilizu :
bei ya jumra
2025-10-10 15:24:28
1
fatma.juma738
Fatma Juma :
dada bei gan bei ya jum
2026-08-29 19:58:32
0
user729159531250
ferister 🧚🦋🦋 :
unataka upae
2025-10-10 14:20:20
0
mariamngakonda
myn :
tamuuu
2025-10-13 17:26:43
1
husnakindema
dylan :
sh ngap jumla
2026-09-04 17:34:47
0
fetty.mohamed7
Fetty Mohamed :
naomba namba chap
2025-10-22 09:17:55
0
user380538318216
Hadija juma :
hilo ulovaa lipo
2025-10-23 08:32:04
0
nancy.shuma
Nancy Shuma :
moshi mnatuma
2025-10-28 12:13:57
0
joyce.shadrack4
Joyce Shadrack :
shingap nataka
2026-06-29 07:36:58
0
waridi040
🦋Rosie 🌹 :
unapatikana wapi
2026-06-30 07:21:07
0
rose.fortunatus
Rose Fortunatus :
😁😁😁
2026-07-29 16:36:01
0
user8459619275721
nana Tailor ✂️✂️ :
@
2026-03-22 14:20:11
0
oportunamathias
oportuna :
❤
2025-12-31 12:01:20
0
sophyjeshii4
JESHIIIII🐘🔐💧 :
💛💛💛
2026-06-07 18:40:14
0
sharoomu
twaribu 12 :
tunauriza bei shingap hata ujibu jaman
2025-10-10 13:56:40
0
To see more videos from user @vijora_pambe_kariakoooo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About