@avopatips: Kuwa na pesa sio kubarikiwa. Kukosa pesa sio kubarikiwa. Kubarikiwa ni kutokuwa na huzuni. #avopatips #motivation #baraka #pesa #huzuni

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 October 2025 16:00:43 GMT
498481
27802
264
4814

Music

Download

Comments

olesaire8
OLE SAIRE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Wacha uongo kuwa na pesa ni kubarikiwa. kuwa masikini ni laana
2025-10-11 07:11:35
35
richman4.com
Rich man :
Abraham alibarikiwa na mali nyingi
2025-10-11 04:14:43
13
eunicecarlo
@min kana hairstyles :
Kuwa Na afya Ni kubarikiwa zaidi
2025-10-11 07:43:44
41
roomei_r
Roomei Runer :
“Baraka ya Bwana huleta utajiri, wala haongezi huzuni nayo.” (Methali 10:22)
2025-10-12 01:25:25
28
colowizzy4
colowizzy4 :
elimu hii haipatikan darasani n street pekee.. Real life
2025-10-10 22:33:27
31
nkashit
riziki :
uongo bana.
2025-10-11 05:20:45
8
sifa.nizigiyimana
Sifa Nizigiyimana :
yes 👍
2025-10-10 20:00:03
7
shogholochifu
shogholochifu :
upo vizuri lkn zungumza c mpk utaje dini mm dini sipendi zungumza najua dini ni fasihi inabeba vitu vingi
2025-10-11 16:27:30
6
mr.alex.b
Mr Alex 🅱️ :
wachache ndo watakuelewa
2025-10-11 07:11:39
15
mashir290
Dee💚💚💚Shirish255 :
Wow 👌 kwa kweli furaha ni utajiri tosha
2025-10-11 04:00:59
13
emmanuelbaraka094
2025-11-25 14:16:03
1
immapoule2
Jitu la mbinguni ☝️ :
hapa inahitajika Akili kubwa ilikumwelewa doctor vingnevyo utaishia kumpinga binafsi nimekuelewa sana Baraka na mali ni vitu v2 tofauti Balikiwa sana
2025-10-12 07:00:55
4
user8816712729091
imankessy43 :
wanaompenda Mungu naomba like zenu
2025-10-11 23:02:06
5
mariammariam0644
mariam :
mashaallah
2025-10-11 09:08:02
4
diy68173
Diy :
mhhh
2025-10-11 07:24:58
3
user1079909918214
diego :
amen
2025-11-20 20:00:14
1
user87376163838414
margaret :
kubarikiwa ni kukutana na mungu, mengine ni majaliwa👏
2025-10-11 13:52:47
3
raphaelmanyama987
Raphael Manyama :
KWELI
2025-10-11 09:46:41
4
mutaratibuprince
Plan B Mwesigwa :
hiyo kweli
2025-11-12 07:28:34
1
hashim.toto
~ FREEDOM... :
waz
2025-10-11 09:07:05
3
veronicambelesero
lina7777 :
AMEN AMEN AMEN 🤲😭😭
2025-10-11 07:34:51
3
tresor.ngabo
Biashara Popote :
Hum Dr 😂 uongo sana. Uzuni ya mwenye iko na pesa ni utashi lakini Uzuni ya maskini sio utashi
2025-10-11 09:24:10
4
magygulaine22
Magigulaine FM. :
Kweli kabisa
2025-10-11 10:58:19
3
sarahkamango1
mapendo❤️🥰🥰🥰 :
vraiment
2025-11-12 18:29:25
1
noreen4887
Noreen💎🇹🇿🇹🇷 :
True 👏👏👏
2025-10-11 11:21:46
3
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About