@kitchencabinetsquality: ๐ Kitchen Cabinets Design ya Kisasa โ MDF Quality Finishing! ๐ Pata kabati la jikoni lenye mpangilio mzuri kama hili โ linapendezesha nyumba, lina hifadhi vyombo vingi, na linaipa jiko lako muonekano wa kisasa na usafi wa kudumu. โ๏ธ MDF material imara na laini kwa mwonekano wa glossy โ๏ธ Rangi inayolingana na ukuta na tiles โ๏ธ Sehemu za juu na chini zenye nafasi kubwa โ๏ธ Worktop ya black granite finish โ rahisi kusafisha na imara kwa matumizi ya kila siku ๐ Tunapatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam ๐ Tunafika mikoa yote Tanzania! ๐ฐ Visit: 30,000 TZS (Baada ya makubaliano ya kazi, gharama hii huhamishiwa kwenye kazi yenyewe) ๐ Call or WhatsApp: +255 753 205 555 #KitchenDesign #KitchenCabinets #MDFFurniture #DarEsSalaam #HomeInspiration