@efathatv: Siku ya Sita ya Kusanyiko! Mungu ameshatenda makuu, kila kona utawsikia watu wakiimba "umeniinua" hapa ni bonde la kukata maneno kweli🔥 Kwa jinsi Mungu asivyo na upendeleo tena ni yeye ni wa wote wenye mwili, tarajia kumeinuliwa juu, tena juu sana! Tembelea tu!ukurasa wetu wa YouTube na Facebook @efathatv ukutane na package ya baraka zako! #annualgathering2025
EFATHATV
Region: TZ
Saturday 11 October 2025 12:01:41 GMT
Music
Download
Comments
blax 255 :
proud to be in efatha❤
2025-10-11 13:19:09
13
julias :
mmependeza ila hakuna ujumbe mkuu
2025-10-11 17:52:35
1
joshy_boy :
huyo jamaa uwa muhingira anampenda ila hamna kitu wakawaida tu😁
2025-10-14 04:39:02
0
edina :
Uhondo huuu Unaweza unasahau shida zako zoteee🥰🥰👌
2025-10-12 12:48:14
5
bethchapita :
kwa yesu ni raha rahaa😊😊
2025-10-14 19:32:26
0
ester goma mzalamo :
napenda sana saut yako ,,, pia nilipenda pale tulipo imbia moyoni yaan kwa ishara
2025-10-18 10:57:29
0
Devotha Mwakyumba :
maua ya Bwana Yesu 🥰🥰🥰
2025-10-14 10:35:01
1
REY⚽🌹 :
sijasahau pendo la yesu
2025-10-19 18:38:20
0
Marry Lameck :
mungu akubariki sana kaka
2025-10-17 12:19:42
0
Mwast Hassan :
ubarikiwa sana
2025-10-14 15:44:44
0
Tiger Loyalty :
Amen
2025-10-14 19:16:31
0
user7142459607396 :
Ameeeen watumishi Mungu awabarikk
2025-10-27 21:06:20
0
user659546221070 :
umeniinua umegusq moyo wangu acha leo nkushukuru🥰
2025-10-12 09:55:53
0
Martha :
Amen
2025-10-11 21:54:51
1
@mapunda :
amen
2025-10-11 12:33:20
1
Mwana yanga tz :
amen😃😃
2025-10-11 12:07:54
1
paulina♥️ :
Ameeen
2025-10-11 12:40:07
1
Naomy💕 :
Jmn👏👏🥰🥰
2025-10-13 07:56:57
0
Mkiza :
amen amen amen 🙏 ❤
2025-10-13 07:44:06
0
Grace Kilama :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-25 17:31:17
0
WAY TRUTH LIFE IS JESUS :
🤔 mavaazi haziokoke jamani
2025-10-13 13:56:04
0
user7688637594328 :
Amen
2025-10-19 15:32:16
0
baby colour :
Mungu ana tutetea katika yote
2025-10-14 06:10:02
0
shadrack :
amin
2025-10-12 13:50:09
0
To see more videos from user @efathatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.