@hanimade_handmades: Period package, Oder 0754201437 🌸#periodpackage #tiktoktz🇹🇿 #gift #girlfriend.

Hanimade_handmades
Hanimade_handmades
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 October 2025 18:04:18 GMT
398155
11659
582
3993

Music

Download

Comments

fugazitz20
Fugazi💧 :
na ambao hatuna mabebe tunawapa kina nani 😂
2025-10-12 14:18:31
40
mariammpili
maryvin@200 :
😂😂😂 kudadeki kwisha naweka status kama vita na iwe vita
2025-10-12 12:11:01
86
prettyishaa219
pretty Ishaa :
so pole tuu anasema pasha maji ya moto ukandekande tumbo litapowa Yan kama senge vile 😏😏
2025-10-12 12:46:16
6
marthanassary332
1st Lady :
cijui nimtag huyu muyaudi wanguuuu. 🤣🤣
2025-10-12 10:37:14
74
minnah900
minnah home style :
siku nikipewa hii backage nitajifungia ndani nilie kwa uchungu
2025-10-12 14:36:48
45
user9983041669842
faa :
Nahitaji ya 15
2026-05-07 14:47:11
0
user5462258629472
dorcas :
Bora hata wa pole kunawengine wanasema unamaliza lini?
2025-10-13 07:00:45
18
aputin_
Putin :
Sema wanangu mapenzi magumu sana😂😂
2025-10-12 13:15:19
6
arlane942
Arlane :
Waambie maana wanakuwaga kama majambazi shenz kabis😏😏😏
2025-10-12 09:00:08
15
tswaggy2
GESTAR@🇺🇲£&🇹🇿POP :
bora nitafute zawadi nimpe mama yangu kuliko hawa manyang'au ni wasengeeee weweweeee utakufa vibaya
2025-10-12 19:23:19
1
walidimsifata
waridi mstafa :
Tena anaona kama unamdanganya unataka umnyime
2025-10-12 11:58:28
16
irenee.greyson
cailadepreety :
ongeaa tu baba angu maan yule wangu ananiambia chukua bhc ile kanga watoto waliokuwa wanaogea nayo ukate mama angu alf anakwambia pole eee
2025-10-12 18:20:38
1
aisharam97
AISHA🥰 :
Sijawai kumupata wakunifanyia ivo nifanyeje ilinimupate waivo😂
2025-10-13 07:04:54
0
www.tiktok.commzeewatkto
HESHIMA PESA :
kaka ivideo naomba ifute kwani kwasisi mabaili wakutunza itatugusa nakuwa zinduwa mademu wetuu🤣🤣🤣🤣
2025-10-13 06:48:20
0
nyamitikigalagmail
nyamile🫂🌹❤️ :
bola akwamby pole kuliko unamaliz lini na tutaonana lini😅😅😅
2025-10-12 15:38:35
3
dastandaniel785
milfath :
10/10
2025-10-12 22:34:56
1
ummyshoo271
Ummy adinani shoo :
yanii napenda sana kwa kweli mwanaume wangu akininunulia pedi,
2025-10-12 14:11:07
5
jasmine.twalbu
JASMYNE ♥️♥️ :
10/10 mnanijua sichelew kulipa
2025-10-12 21:40:34
1
sofie6258
sofie :
ila anasema ukweli kabisa mwanamke anahitaji upendo na kujaliwa hasa kipindi hiki huwa tunatamani hata Chocolate ya 3500🥰🥰
2025-10-12 14:59:52
1
judith.paulo67
Judith Paulo :
cku nikipata ivo ntalia machozi ya furaha maana cjawahi pewa ata zaelf2
2025-10-13 08:58:41
0
user5409469286258
angel maurin :
siku nkimpata wa hivi ntajifungia ndani nilie
2025-10-14 03:46:34
1
mrsmile255tz
🐻🅼︎🆁︎ 🆂︎🅼︎🅸︎🅻︎🅴︎🧸 :
hii nliwahi mpa dada Angu tu Peke Ake kubabeki zenu nyie wengine dada angu nlivyoumwa alikuwa analala na mm hospital anapigwa baridi ananiombea Hadi na machozi yanamtoka kubabake mm nampenda sana yeye ndo Mtu pekee kwenye Hii dunia yupo Tayar aumie nifurahi Mimi ah ata sikuona aibu nlimpa pakage Yake na Ka alfu 30 lakin buku buku ilo aone nyingi😂😂😂
2025-10-14 07:35:01
2
rachel07749
Rachel :
jamani ivii mimi nitapata mwana ume kama huyo kwerr
2025-10-12 19:37:31
2
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Mitano tena 🤣🤣
2025-10-17 22:23:23
0
officialzuchn
agg :
anaweza ona clip ii na asijiongeze 😁😁😁
2025-10-13 08:34:09
2
To see more videos from user @hanimade_handmades, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About