@omidol_health_consultanc: MADHARA MAKUBWA YA PID UKIPUUZIA TIBA 1️⃣ Utaanza kuishi na maumivu ya tumbo ya kila siku Maumivu hayawezi kuisha kwa dawa za kawaida, yanakuwa sugu na hukutesa kila mwezi. 2️⃣ Mirija yako ya uzazi huziba Hii inafanya yai lishindwe kufika kwenye kizazi, matokeo yake ni kukosa ujauzito kabisa. 3️⃣ Unaweza kupata mimba ya nje ya kizazi (ectopic pregnancy) Ni hatari sana, inaweza kuhatarisha maisha yako. 4️⃣ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa 💔 PID husababisha kuungana kwa tishu za ndani na kufanya tendo la ndoa kuwa chungu. 5️⃣ Kutokwa na uchafu wa kudumu wenye harufu mbaya 😣 Hata ukiosha mara ngapi, harufu inabaki, inakunyima kujiamini. 6️⃣ Maambukizi huenea hadi kwenye ovari na tumbo lote Hali hii inaweza kuleta usaha mwingi ndani na hata kuhitaji upasuaji. 7️⃣ Kupoteza kabisa uwezo wa kupata mtoto 😢 Hili ndilo pigo kubwa zaidi kwa mwanamke yeyote. 💔 Usisubiri hadi iwe mbaya zaidi. Tibu PID mapema, linda uzazi wako, linda furaha yako ya baadaye. 🌸 📩 Nitafute sasa ili kupata ushauri na tiba kamili ya PID kabla haijaharibu mwili wako kabisa. +255654 35 79 71 #pidawareness #uzazi_tips #pid #uzazikwamwanamke #PID #uzazi