@fauziajumaa: #CapCut Jinsi ya kupika chapati laini sana # Chapati mnyambuko

Fau Delicious
Fau Delicious
Open In TikTok:
Region: GB
Sunday 12 October 2025 12:16:47 GMT
1868288
51021
1545
11320

Music

Download

Comments

salmaali200000
Jessica J :
Samli Sio butter, ni nini jamani? 😭 Nilijua ni butter 🧈
2025-10-30 23:36:06
12
iam..renny
Renny :
hkn video ya kupika chapat ambayo cijaangalia za ndani na nje ya nchi lkn bd ni aibu😅
2025-10-13 15:22:49
634
qalb611
Ummuh nasri🌹 :
ugomvi wetu mimi na chapati za kusukuma naomba msiuingilie 😂
2025-10-12 19:00:54
348
.ms_ff
ففه :
me naangalia kwa makini ila nkipika kama makapeti jamn
2025-10-15 08:11:28
168
winterwoods382
Dr Erasto Edwin. MD :
😭😭😭 No matter how i try they just never come out like this 😭😭
2025-10-14 09:21:39
15
faithwaweru883
Njeri Faith :
kilo mbili ya unga yatoa chapati kama ngapi?
2025-10-14 06:47:09
40
user3233719915012
mwenishukrani :
maji Moto au baridi
2025-10-16 22:25:34
17
mii_favee
🦋Mii,,🍭Faveee🌷 :
Samli ndo blue band jamani au ni tofauti
2026-01-07 08:14:18
8
ochhy_32
Ochhy :
Huyu ndio Wife material sasa😂 Ladies take notes.......
2025-11-02 19:16:59
12
jalyzo
Jalila Jagna :
Unaweza kufata step zote nabado ikatoka CD 😂😂😂 chapati aahhh
2025-10-15 17:03:48
41
pasdepanique388
Pas de panique 🎀🇰🇲🦋 :
Y pas de lait de coco ou bien lait 🥛 rien du tout 😳😳Macha allh
2025-10-14 12:13:06
6
0kidoti
kidoti mamu :
mmh Kwa mudaa wote huo siwez😓🤣 ntaendelea tu kutaman ila process siziwez
2025-10-12 20:18:37
6
la_nature99
La nature :
Machallah c'est clair que la langue shi ndzouani 🇰🇲 fait partie du swahili 😍. Fait un tour dans ma page est decouvré la ressemblance.Karibu
2025-10-13 11:40:03
15
pendo.madaki
pendo madaki :
kama sina samli,naweza kutumia mafuta ya kawaida tu na kufata process kama ivyo?
2025-10-12 13:27:18
7
jua.kali5
Jua kali 26 kipaji :
Mimi na pika zina kuwa laini na sitii samli na zina kaa mpk wiki
2025-11-17 18:19:12
15
imma43085
imma :
kama huna samuli namafuta ya kawaida chapati aiwi lakini?
2025-10-13 03:07:32
6
lilianmwangolo5
Umazi 002 :
Hii sauti unafaa kuwa mtangazaji BBC
2025-10-30 14:06:51
6
sanai1589
Sanai :
Masha Allah Allah akubarik kwa kazi ya mikono yako kila mtu kafaham vizuri umefahamisha vizuri sana hata mtu km kichwa chake kigumu anafaham
2025-10-12 16:16:10
5
jahimm1
S💥J :
Kurovya Nini ni😅😅
2025-10-18 06:30:17
7
nvfufsc
gbdkll :
Merci beaucoup c'est le genre de tiktok qu on veux. merciiiiiiiiiii infiniment 🥰💞💗❤
2025-10-13 17:37:54
14
lyimo281
lyimo :
kwa nini usiuze pia
2026-07-21 14:24:19
0
aaliyahhhh146
Swalher❤️🧕🏼 :
Huyu dada ndo amenifanya nijue kupika chapati🙌❤️
2026-08-29 16:31:40
2
tabithajohson3
Tabithajohson :
Mm jaman nashindwa tu kutengeneza hiyo cirle yani nitakutole pembe hapo ambazo haielezek🤣🤣🙌
2026-08-27 16:17:20
1
sasa.love06
sasa love :
sacred 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-04 16:51:25
1
To see more videos from user @fauziajumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About