Bado kusilimu tu waache wakanyagane wenyewe sisi kimyaaaaaaaa allah akbar
2025-10-13 05:39:52
8
muxuyidin :
kama Kuna baba mungu lazima Kuna mama mungu!
yesu mtoto wa Mary si mungu
ati Mary alibeba mungu tumboni for nine months and he was breastfed for 2yrs. bana hio hata akili ya shetani inakata
2025-10-14 10:05:48
3
monx260 :
sasa kam mungu baba yupo pia mwana yupo
2026-04-02 19:38:53
1
Samir :
nikisoma comments naona hii kitabu kinajipingapinga, au waandishi na mvinyo n kimoja
2025-10-14 08:42:54
5
Roro..robz 👊.. :
😂😂😂😂...Ndacha kumbe unajua Yesu sio Mungu 🤝🤝 Alfu uyuu Mtu ni Mnafiki sanaa 🤣🤣
2025-10-13 11:32:05
5
Shaipa :
ndacha jamani.mbona anahubiri kiislamu
2025-10-12 19:12:31
13
Jimmy :
Mimi naona pastor ameongea kama waislamu atowe shahada
2025-10-18 07:49:46
5
Kigusile Mulenda :
Huyu alibadilikaje gafla?
2025-10-13 03:53:20
11
masud :
dawa ya maswali ya kikristo kuwa muislam
2025-10-13 05:32:43
5
Mohamed Rashid :
MM KAMA MUISLAMU NIKIONA HII NACHEKA TU NAJUWA MUTAKUJA TU KIDOGO KIDOGO MPAKA MUKUBALI UKWELI UPO KWA WAISLAMU TU 😂
apo umeongea fact sana ndacha pole pole tu utakuja kwenye dini ya kweli😁
2025-10-13 08:55:42
14
cadabra9090 :
Lakin mtoto wa Mungu si ni mungu?
2025-10-13 13:11:37
1
... :
Colossians 2:9.Yesu ni mungu ndani ya mwili
Isaiah 9:6.Yesu ndiye mungu mkuu
Ndacha hajamjua yesu ni nani
2025-10-13 03:44:54
8
RANGI ADIM 🦅🦅 :
KWA UFUNDISHAJI UUU AMTANIONA KANISA LOLOTE!! DUNIANI ME SO MJINGA😏😏😏😏😏😏😏
2025-10-13 02:45:51
16
ST.DESMOND :
Ndacha wewe ni mpinga kristu
2025-10-15 07:01:21
0
Adam YG barbershop :
Mimi ni mkristo ila sisi wakristo tunashida mahali😅... imagine mtu anamuona Mungu kama kitu flani au kiumbe Fulani ndo maana wanaamini Mungu anaketi katika kiti cha enzi😂 na yesu atakuwa mkono wa kuume wa Mungu jamn.. binafsi nimegungua kila kilicho andikwa katika biblia si cha mwili bali ni mambo ya rohoni tu.. ukisikia vua kiatu sio kiatu cha mguuni tunachovaa au ukisikia mbinguni haingii mlemavu sio ulemavu wa viungo.. namalizia Kwa kusema kupitia kusoma kwangu biblia nimegungua..Mungu alikuwa akiwatokea manabii wa mwanzo kama kuna Musa katika kijiti ndo huyu zama za yesu alikuja na mwili wa kibinadamu ila ukimwelewa Yesu kiroho ndo utamuona Mungu ila ukimwelewa Yesu kimwili utamwona mwana wa Mungu sababu anamwili na sifa ya Mungu sio mtu na Wala haonekani ndo maan yesu mwili anamtukuza baba na baba Roho aliekuwa ndani ya mwili anamtukuza mwana ambae ndo mwili
2025-10-13 06:58:30
4
Justine :
somo la utatu watu wengi wanakurupuka hawataki kusoma na kuelewa
2025-10-13 04:09:03
4
ms.___pendo :
Mtoto wa nyoka ni nyoka, kwahiyo kwa kusema hivyo kwamba Yesu ni MUNGU kama Baba alivyo MUNGU kwahiyo hawa ni kitu kimoja, MUNGU Baba , MUNGU Mwana, MUNGU roho mtakatifu, 😀mtabaki mnabishana hapo lakini Yesu atabaki kuwa MUNGU.
2025-10-13 04:06:07
23
pmafterlunch7 :
Ndacha yuko sawa lakini amemlimit mungu...pili anamzungumzia mungu kama mwili wakati mungu ni Roho..anaweza kuchukuwa mwili kutumia.
2025-10-13 03:45:33
4
Peter wa Mwandawiro :
Huyu pia amepotea kiasi. Hakuna siku utaona Mungu bali utamuona huyo Yesu tu
2025-10-13 10:07:55
1
WORDSLESS GUY :
Mimi nampenda Ndacha lakini mimi hushangaa haelewi utatu!! mwanzo 1:26 inasema natumuumbe mtu kwa mfano wetu, anaambia kina nani kama si watu ambao wana uwezo kama wake, Yesu alikuja duniani kama mwanadamu ili watu wasiogope ila wamwamini🤔
2025-10-14 20:01:54
0
ibrahimseleman426 :
waislam takbiir! sasa ndacha hiyo unayoihubir ndio iman ya waislam, si usilimu sasa ?
2025-10-17 15:05:25
2
Chrslam🥰💝 :
amen 🙏
2025-10-13 04:04:23
4
Kamwana mwenje :
Akuna kitu mnajua nyinyi kwanza,, aliuumba mbingu aitwa mungu Alf pia shetani aitwa mungu,,, YESU ni MUUMBA,,,Mungu ni shetani,,,,hio jina Mungu iwezi toa pepo kwanza,,,
2025-10-14 15:09:43
0
Jésus vivifie🙏 :
Kwa midahalo una sema yesu ndie Mungu mkuu kwa wa kristo una sema yesu sio Mungu ah waSabatu kuna muda muna chekesha 😂
2025-10-13 08:45:39
1
To see more videos from user @kusanyiko, please go to the Tikwm
homepage.