@andrix_3d: N’envoyez plus ça, Uzi voit tout 😭 #murderdrone #md #uzi

andrix_3d
andrix_3d
Open In TikTok:
Region: FR
Sunday 12 October 2025 16:06:46 GMT
62768
6765
167
493

Music

Download

Comments

sinder_contributer_fan
sinder_contributer_fan :
2025-10-13 13:23:45
253
jester1806
Tristan Deshon :
2025-11-15 00:01:21
41
kennphilipines
♡~KENN~♡ :
where's uzis beanie?
2025-10-16 08:43:48
7
hthombkzfwz
gamerkidtheflamemaster :
2025-10-13 14:36:46
88
hidetheywillfindyou
..-. --- ..- .-. :
2025-10-13 15:59:56
22
darkxmiau17
𓅨𝘜𝘻𝘪𖥂 :
where do i get one
2025-10-12 16:21:33
32
sinijvolk24yt
S.any.oK 💠 :
Uzi, look at this
2025-10-13 05:10:45
52
shinks.alt
Shinkō :
That’s nuts. I didn’t know she’s real.
2025-10-14 05:06:07
13
sh4d0wgr4y
𝕎𝕙𝕚𝕥𝕖 :
what tha h3ll
2025-10-19 14:22:06
7
nerium7
Doughael :
2025-10-14 05:40:30
16
random.lil.w0rker
𖥂🦴MOON🦴𖥂 🇲🇾 :
what am I looking right now
2025-10-13 12:38:14
8
rahoma0926
coooookieeeee :
that's why i hate the fanart
2025-10-13 21:13:38
21
luisadanduarteram
adanfool🗿 :
2025-10-14 23:06:27
68
cloe_anime1
Cloé SORACHI :
Je veux trop la voir 😔
2025-10-12 16:10:20
6
linda.montero258
Linda Montero :
2025-10-14 20:46:45
12
userennn31111
🇩🇪||[𝚜𝚟]!𝚃𝚛𝚢𝚜𝚔𝚊.𝚊𝚊 :
2025-10-13 18:56:40
25
44v092
хл :
бригаду: как оно движется
2025-10-12 18:36:13
26
iseeyoursins_
𝗗𝗶𝘀𝗰𝗼𝗿𝗱 :
2025-10-13 05:42:42
7
murddronesfanm
delilah :
nori:Uzi what are you looking at?
2025-12-26 22:37:51
2
el_mexicano617
El_mexicano :
2025-10-25 11:43:45
3
peoplo_
{𝚋𝚊𝚒𝚖®}•᷄ࡇ•᷅▶︎ •၊၊||၊|။|| :
REAL UZI
2025-10-23 10:16:36
3
memel..45
Memel45𖥂 :
Do you wan't be my friend Uzi?
2025-11-02 00:19:58
3
witchfairy78
Fairyink78 :
La pauvre ! 😂 mais c'est trop bien fait ! 😻
2025-10-13 17:03:40
2
user9605697795546
★Эн мой муж и точка★ :
★Эн мой муж и точка★ не мешайте ей
2025-10-18 08:07:41
3
j_company_tt
°|•| 🍁JDH🍁 |•|° :
что за ФД😈
2025-10-14 15:20:01
2
To see more videos from user @andrix_3d, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*NOVENA YA KILA SAA, NOVENA YA MASAA 3 KATIKA SHIDA KUBWA.*🛐🙏 *Anza na Zaburi ya 51, ukimaliza kusali litania sali zaburi ya 130.* *SALI NOVENA HII KILA SAA HADI UMALIZE SAA ZOTE 3.* *SAA LA KWANZA.* Ee Rita wa Kashia, Mtakatifu wa mambo yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu, njoo,  unisaidie katika shida hii, *(Hapa taja shida yako unayotaka kusaidiwa kwa maombezi yake).*  Bila maombezi yako yenye nguvu, ee Mt. Rita siwezi kutoka katika katika shida hii. Njoo him a unisaidie kwani Mungu hakukatalii wewe chochote unachomwomba. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Baba yetu x 3 Salamu Maria x 3 Atukuzwe x 3 *LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA* ------------------- Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, ----------------------------------- *Kiitikio *
*NOVENA YA KILA SAA, NOVENA YA MASAA 3 KATIKA SHIDA KUBWA.*🛐🙏 *Anza na Zaburi ya 51, ukimaliza kusali litania sali zaburi ya 130.* *SALI NOVENA HII KILA SAA HADI UMALIZE SAA ZOTE 3.* *SAA LA KWANZA.* Ee Rita wa Kashia, Mtakatifu wa mambo yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu, njoo, unisaidie katika shida hii, *(Hapa taja shida yako unayotaka kusaidiwa kwa maombezi yake).* Bila maombezi yako yenye nguvu, ee Mt. Rita siwezi kutoka katika katika shida hii. Njoo him a unisaidie kwani Mungu hakukatalii wewe chochote unachomwomba. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Baba yetu x 3 Salamu Maria x 3 Atukuzwe x 3 *LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA* ------------------- Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, ----------------------------------- *Kiitikio *"Utuhurumie"* Baba wa Mbinguni, Mungu, Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu, Roho Mtakatifu, Mungu, Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, ------------------- *Kiitikio* “Utuombee"* Maria Imakulata Mama wa Mungu Maria, Mama mfariji wa wanaoteseka Maria, Malkia wa Watakatifu wote Maria, Mwombezi mpenzi wa Mt Rita ------------------- *Kiitikio* “Utuombee"* Mt Rita, Zawadi toka Mbinguni: Mt Rita, Mwombezi wetu mwenye nguvu: Mt Rita, uliyejaliwa Utukufu: Mt Rita, mstaajabiwa tangu utoto wako: Mt Rita, mpenda upweke: Mt Rita, Kielelezo cha usafi wa moyo: Mt Rita, kielelezo cha upole wote: Mt Rita, kielelezo cha mke mwema: Mt Rita, kielelezo bora cha mama mtaratibu: Mt Rita, kielelezo cha msamaha wa kweli: Mt Rita, kielelezo hai cha kujikatalia: Mt Rita, kioo cha maisha ya kitawa: Mt Rita, kioo cha utii; Mt Rita, mvumilivu wa kustajabiwa; Mt Rita, shujaa wa kujitoa sadaka; Mt Rita, shahidi katika kufanya toba Mt Rita, mjane mtakatifu; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkereketwa wa kuitikia wito mtakatifu; Mt Rita, aliyeingizwa utawani kimuujiza; Mt Rita, harufu nzuri ya manemane; Mt Rita, bustani ya kila fadhila; Mt Rita, mpendezwa na Yesu Msulubiwa; Mt Rita, uliyechomwa na mwiba kwenye paji la uso; Mt Rita, binti mpendevu wa Bikira Maria; Mt Rita, mwenye kiu ya upendo wa Kimungu; Mt Rita, uliyevikwa utukufu; Mt Rita, lulu ya mbinguni; Mt Rita, utukufu wa shirika la Mt Augustino; Mt Rita, tunu ya thamani ya Umbria; Mt Rita, mwenye nguvu za utakatifu; Mt Rita, msamaha wa wanaopata mahangaiko; Mt Rita, mfariji wa wanaoteseka; Mt Rita, nanga ya wokovu; Mt Rita, mwombezi wa wagonjwa; Mt Rita, mwombezi wa mambo yaliyoshindikana; Mt Rita, kimbilio la walio hatarini; Mt Rita, msaada wenye nguvu kwa wote; Mt Rita, mastaajabio ya ulimwengu; Mt Rita, uliyepokewa mbinguni kwa furaha; ------------------- Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusamehe Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusikilize Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia *"Utuhurumie"* ------------------- *K:* Umemtia alama Ee Bwana mtumishi wako Rita *W:* Kwa mhuli wa upendo na mateso *TUOMBE*: Ee Mungu , ambaye katika wema wako wa daima, umependa kusikiliza maombezi ya mtumishi wako Rita. Utujalie kupitia maombezi yake, yale ambayo yameshindikana kwa nguvu za kibinadamu. Utuhurumie sisi tunaoteseka, uwasaidie wote wasiokuamini wajue kuwa wewe ni tuzo la wanyenyekevu, mfariji wa wote wenye hofu, na nguvu ya wanyonge. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina ------------------ 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 *Kila baada ya kusali novena ya kila saa , tunasali litania hii kwa saa zote 3.* *The3amAltar.* #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿

About