@irene_keza: Replying to @neymarcollection1 #pastortonykapola #sisindiowaletunaosaidiwanabwana #viral #fypage #fyp

Irene❣️🦋
Irene❣️🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 October 2025 19:53:11 GMT
126713
4662
235
269

Music

Download

Comments

hellenmwakyomampangala
Hellen Mwakyoma Mpan :
Wakotoliki wanaimba sana ZABURI sana asilimia 90 ya nyimbo za katoliki ni zaburi
2025-10-13 07:38:53
199
user51576771205885
martha paul :
mtazunguka weee cathoric ni kama maji hayakwepekii safu sana born in cathoric
2025-10-13 08:51:26
143
katarina2974
katarina :
Tumsifu Yesu kristoooo
2025-10-13 08:59:23
45
tinnatanna_1
mom lee🥰 :
😂kanisa mama bado linatuleaa🙏🎊
2025-10-13 05:11:24
84
phina.ndagula
Phina Ndagula :
Catholic itabaki kanisa mama tu tumsifu bwana siku zote za maisha
2025-10-13 07:23:39
80
issaya.jr
@ISSAYA JR :
hiii Ndy Maana Halisi Ya Tushilikishane Tone La Upendo...ila Catholic Song 🎵 Hatariiiiiiii gonga like wakatoliki woteee
2025-10-24 19:50:46
4
mathiasmanga215
CALVIN :
CATHOLIC FOREVER huwa tunaiimba zaburi. Hakika ni moja takatifu katoliki la mitume na kimisionary.
2025-10-13 11:24:42
49
claudmpelembwa
Claud Mpelembwa :
novena hiyo
2025-10-12 20:17:53
6
pinael9
shaki :
kanisani hakunaga mgeni ...huu wimbo wameujuaje kama hawakua wakatoliki? 🤣🤣🤣
2025-10-14 13:30:03
2
eliasmanyenye
manyenyeelias :
kdg kdg ukatolik ni kamaj yanapenya miamba
2025-10-13 10:01:37
5
black68198
black :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰CATHOLIC HATA WASEME MANGAPI 🔥🔥🔥
2025-10-13 14:22:29
7
chikanda6
user7697696229622 :
Ewe roho mtakatifu, naomba NAMI niwe miongoni wa wanao muhumidi bwana Mungu wangu
2025-10-13 07:18:45
9
rosejames8395
Rose James :
kunakitu wanakosea... wangenipa niimbe sauti ya kwanza nibaruzeee
2025-10-14 06:40:47
6
kinasnziva
KinasNziva :
Mtalijua tu kanisa la mitume wa Yesu Kristu! Kanisa la kwanza,, mizizi yake haitopotea na shina lake halitonyong'onyea... Catholic l ic Foreverrrr
2025-10-14 07:27:15
7
doratairo
doratairo :
uvivu tyuuu wa kupuliza gas
2025-10-13 13:06:05
3
sallyvenance
sallyvenance :
mdogo mdogo tutarudi Tu 🤌 Catholic forever ♾️🤗🔥❣
2025-10-14 03:27:08
8
orsbornjr3
Osborn Jr :
Ee nafsi yangu mhimidi Bwana by Annie mwende
2025-10-13 04:44:34
18
aa_mwilafi
AA_mwilafi :
Music wa kikatoric ni music mgumu sana kupiga na uzuri katoric wanaimba Zaburi daima
2025-10-13 09:43:30
6
christinathomas511c
Christina Thomas51 :
Mkatoliki Simama 🙏
2025-10-14 18:42:18
4
user5410992763572
Avie :
ila sauti mnakosea
2025-10-13 08:13:38
1
neymarcollection1
neymarcollection1 :
Asante🥰🥰🥰
2025-10-13 05:12:49
0
dicksonmabao
Dickson :
proud to be catholic
2025-10-14 09:33:03
3
mamap1496
mamaP :
nota hazijakaa sawa....ila kikubwa Mungu wetu aabudiwe
2025-10-15 12:40:27
3
isaac.guyashi
Isaac Guyashi :
unaitwa Ee nafasi yangu mhimidi bwana mtunzi ni DIDACE MULOLWA
2025-10-16 10:54:38
4
odetasowo
odetasowo :
mmekumbuka 😂😂 ludini tu hakuna shida kabis 🙏🙏🙏
2025-10-14 18:56:34
2
To see more videos from user @irene_keza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About