@ashraph_zanzphotographer: #zanzibar🇹🇿 🌊😂😂

Ashraph_zanzibar_photographer
Ashraph_zanzibar_photographer
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 October 2025 20:30:34 GMT
553026
13244
588
3640

Music

Download

Comments

zanzibar_girl_one0
💚Zanzibar girl 🧕❤ :
Tukome hatushibi ndo nn 😂😂😂😂😂
2025-10-13 03:56:51
109
sleyman.moury
S-Amonr :
Bro kama ulikuwep wanawake wa zenji hawajui kushibaaa 😂😂😂😂😂
2025-10-13 04:48:50
56
sophy.tameem
sophya tameem :
Hatushibi kututia Ila mbaya tu nyoo 😂
2025-10-13 12:27:51
38
swafat.said
nasrya abdallah💘 :
😂😂😂tutabeba vyakula vyetu akaa!!!
2025-10-13 04:28:47
31
nanah.toxic
Nanahtoxic ❤️‍🔥🦋 :
Hapa panaitwaje…?
2025-10-15 21:37:09
3
iddikessi
gallo zanzibar :
Kweli kaka hawashibi
2025-10-13 03:40:51
5
rafayzasalum2
rafayzasalum :
wapi hapo
2025-10-13 07:05:26
3
basalee
Basalee :
ila sis wazanzibar wenyew kw wenyew twabaguana
2025-10-13 06:12:10
7
strive218
⛈🧢RESIST_MODE🎫🥷 :
nilikua naomba kuuliza hapa panaitwaje
2025-10-13 12:36:15
8
mamuh.khamis
mamukhamis :
😅😅😅et wanawake waunguja hawashibi🤣🤣
2025-10-14 19:57:13
5
ms.mo670
Ms.mo🌱 :
Wanawake wa unguj hatushibi😂😂
2025-10-15 12:00:45
5
salhasalim1
Salha Salim :
TAFUTENI PESA MUACHE MAKASIRIKOOOO NYOONI HATUSHIBI IYO KWEMA
2025-10-13 05:00:30
13
ahnafibrahim940
Ahnaf Ibrahim :
mimi muunguja safi lkn cpendi elimu y ujinga y ccm pemba n unguja unapata Zanzibar sio unguja ni Zanzibar
2025-10-15 15:14:24
2
mishahass471
mishahass471 :
Ipo sehem gan iyo😂
2025-10-13 16:15:22
2
miss.macha20
Miss macha :
jamani nilipita njia nipazuri sana
2025-10-28 16:41:58
0
ahmed.salim473
Ahmed salim hijab💕 :
kama unaamini pemba haipo africa gonga 5
2025-10-14 08:02:46
4
sandy.saleh46
sandy :
wanawake wa unguja kachori tu na boflo wameshiba, sasa ungekutana na wanao kula kande asubuhi sijui ungesemaje
2025-10-13 08:10:31
9
kimamyto_collection
kimamyto_collection :
mbona hawashibi🤣😂 haya njoeni TANGA kwetu, maridhiya hatuna neno😜
2025-12-09 10:42:56
0
kibibi198
♏ :
pameshafunguliwa tyr
2025-10-14 07:59:11
1
user694417927955
user694417927955 :
🤣🤣🤣 watazalilika ila mimi nitakuja
2025-10-15 09:16:04
2
user3081505690722
Farida.slimcare01 :
🤣🤣🤣🤣🤣uwiiii eti wanawake wa unguja hawashibii🤣🤣
2025-10-14 18:55:34
3
user11803122135705
Aiem ynah✌️ :
MARU hee vykula vyake ni expensive htr 😂nmeenda na laki na ishrini nmerud mitupu 😭😭
2025-10-15 19:27:31
1
user3228419315906
zalha Aq-mar🪷 :
bahari imetuzunguuka na upepo wa bahari unatia njaa 😁😁😁
2025-12-05 20:41:46
2
nadeashabani
De cute 😍 :
tushawahi kula kwenu
2025-10-25 11:37:55
1
user2352537149352
user Mula 8457 :
wacha kutisha watu wewe tutatumia kwa uwezo wetu ulivo
2025-10-18 19:55:50
2
To see more videos from user @ashraph_zanzphotographer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About