@abufaaris4: #saudiarabia🇸🇦 #tanzaniantiktok #Abbaspazia #Abbaspazia

ABU FA'ARIS ABBA'AS
ABU FA'ARIS ABBA'AS
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 October 2025 21:03:26 GMT
15896
680
52
342

Music

Download

Comments

abufaaris4
ABU FA'ARIS ABBA'AS :
IKHWA SIKILIZENI HUU MJADALA MPAKA MWISHO HAKIKA UNAFAWAIDA NYINGI MNO
2025-10-13 07:32:54
9
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
Mafuta bwana!!! upuuzi tu Maulidi ni sawa na watu kuitana kusoma Quran kila baada ya muda fulan na wakaweka utaratibu fulani
2025-10-13 06:31:21
0
user49709191632
said :
jazaakallaahu khayran Allaah akuhifadhi sheikh wetu kasim mafuta
2026-03-27 13:20:35
0
ngechy.dessigner
Abuu Irfaan :
Mashaallah
2025-10-13 05:33:22
1
idrisacheppa3
Idrisa cheppa :
tuma muendelezo mwalim tuendelee kupata faida
2025-10-13 12:20:15
2
bashiru_mussa
Bashiru Mussa :
Hii ilikuwa Mwaka gani Akhy
2025-10-12 21:46:24
2
i5sa15am5a5
🎤✒️🥤 :
huu ndo ujinga wa waislam wa zama hizi,wanaanda mijidala kwa kutumia vitabu na mawazo ya watu.
2025-10-15 07:05:32
1
mussamlibo
أبو خزيمة الفقير آل كسغاي :
Allah akuhifadhi shekh wetu mpendwa ❤️❤️❤
2025-10-14 08:11:30
1
abuu.abdallah.hume
Abuu Abdallah Humeid :
naam naam naam nyundo nzito sana hizi tunauwa nzi kwa nyundo
2025-12-08 14:49:12
2
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
mijadala ya kipumbavu hii kisha wote hao Mafuta na Dedes wanaungana kwenye shiriki ya kutawaliwa na sheria za kishirikina na wooote hao ni watetezi wakubwa wa utwaghuti
2025-10-13 06:29:25
1
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
huu ni upumbavu wekeni hoja za huku na kule kuweka upande umoja ni tabia ya kiyahudi
2025-10-13 18:25:38
2
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
kwakhiyana ya masalafy na niagizo la mayahudi hawaweki hoja za upande wa pili hawafanyi kabisa kabisa
2025-10-13 18:24:56
0
mrssomba1
🦋Mrs somba🦋 OG🦋 :
🥰
2025-11-27 12:36:44
1
shedrack5461
Shedrack :
😂
2025-10-18 22:08:48
0
safari.nisafari7
AbuuSuhaib :
huo ndio ukweli tatizo watetezi wa maulidi sijui hawana elimu au vipi wanatumia nguvu sana kuna tofauti gani na ma,ahad za Mafuta? agizo ni kusoma ama mbinu mtabuni wenyewe kama ni haaqaat au nidhamia na agizo ni kumswalia mtume au kusoma matendo yake mbinu mtabuni wenyew na hili la kukusanyika siku fukani kumswalia au kusoma matendo yake unaitaje bid,a kama si utoto na ujahili? na wanao tetea maulidi wanachekesha sana wanafanya jambo halali halafu kutetea hawa wezi, masalaf hufanya semina kila mwaka na kufanyisha mitihani washirki na kutoa zawadi mtume alifanya hivyo?
2025-10-14 09:36:50
1
abuu.ubeyda4
Abuu Ubeyda :
🥰🥰🥰
2025-12-30 11:27:29
1
ibrahmwerondo
MWANAHARAKATI :
aamin
2025-10-19 15:06:11
1
To see more videos from user @abufaaris4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About