niliota nilikua na mtoto mvurana alikua amejipupulia,
2025-10-19 19:04:58
0
Menah🧕🌹 :
allihamdullillah
2025-10-20 15:04:50
0
Rahima :
amin
2025-10-13 09:35:42
0
Khadija :
amiin
2025-10-13 14:20:51
0
Azraa sOud :
Amiin yarabbi
2025-10-13 18:00:00
0
umchrlz :
Amiin...shukran 🙏
2025-10-13 08:58:29
0
هميسي :
🥰🥰🥰
2025-10-14 21:31:09
0
adidja Hassani👄👄 :
🥰🥰🥰
2025-10-13 12:43:40
0
anti chuu :
🥰
2025-10-16 16:30:05
0
🌟 KAY🔐❤️👸♒️🌟 :
shukrani sana Allah akulipe kheri
2025-10-13 09:04:53
1
Claudia :
shekh samahani mimi nimechumbiwa na kama miezi minne mpk sas toka nichumbiwe
sas katika ichi kipindi cha uchumba nimepata ndoto zaid ya mara moja ya aina moja ambayo namuota yule mchumba wangu subhanallah anakutana n mwanamke mwingine kimwili mbele yangu
na kwa mara ya pili nikamuota anamlazimisha kumuingilia mwanamke kimwili mbele yngu vilevile wallah shekh hii ndoto sijajua mpk sas inamaana gani!!...naomba unisaidie maana y hii ndoto🙏
2025-10-13 12:17:39
1
Billionaire Nasirah🇷🇼🇺🇬❤️ :
iyo nikweli sheikh niota na tapika na nilikuwa na umwa ila niiota na tapika niliamka najiskia vizuri Hadi Lewo Alhamdulillah
2025-10-13 15:20:41
1
Amish :
Jee ndoto ambae unaiota mara kwa mara kwa miaka kwa miaka,, yaani upo maeneo mliishi utotoni inaashiria Nini?????