@dr.jessy09: Replying to @nillfamvibez Natural way of relieving Colic in our baby❤️👶 #foryou #newparents #newbaby #newborn #colic

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 October 2025 11:58:34 GMT
180676
4653
188
751

Music

Download

Comments

nay.tz5
PRINCE👑💸 :
kiufupi tunaonyonyesha atutakiwi kulaa😁
2025-10-13 16:16:29
60
drsabrina22
Dr_Sabrina_zanzibar :
please tuekee na scientific research evidence papers ulizotumia kwa hii issue, we need pathophysiology... tiktok ma Dr wa mchongo ni wengi😁
2025-10-13 14:17:55
3
bossydee3
Damacline 🥰♥️ :
Aaya basi, tupee list ya vyakula tunavyopaswa kula sababu nikitoa hizo zote nabaki wa kufunga😂😂😂
2025-10-14 06:29:16
28
angeltz938
mama fernandez :
wangu ananyonya akimaliza anatapika nifanye nn jmn dock
2026-08-07 15:17:17
1
charij40
🌸❤️ 匚卄卂尺丨ㄒㄚ🌸❤️ :
Sasa tutaviwpukaje na ndio vyakula vyetu doctor
2025-10-13 13:32:54
8
nonoh8309
Nonoh Mashuka og :
Dr jessy jmn naomba unjbu mtoto wa miezi miwil na nusu kichwa chake kimepinda kidogo nini nifanye akae sawa?
2025-10-13 12:39:42
4
user97794376168740
user97794376168747 :
mtoto wangu anamiezi mitatu lakini anatokwa na mate sana
2025-10-13 16:04:30
5
jr.godliving
jr godliving :
doctor nisaidie mwanangu mbona akicheuwa anacheuwa mpaka yanatokea puani wakat Kila ninapomaliza kumnyonyesha namcheulisha lkn bado akicheuwa inatokea puan japo cyo mara zote
2025-10-14 12:13:56
4
neyjohn61
Ney love💓💓 :
dad samahani ninaujauzito wa miezi sita lakin tumbo linauma sana halafu mtoto amepunguza kucheza
2025-10-13 15:05:28
4
winnie.lyimo
winnie.lyimo🇹🇿 :
na ngurue inamadhara?
2025-10-13 13:16:31
2
user99974292386123
merry :
tuta kula Nini jamani
2025-10-14 23:09:34
2
tunuh.prosper8
miss jay :
dr je maziwa ya mama yakiingia kwenye masikio ya Mtoto yana madhara yoyote
2025-10-13 18:10:26
0
asteriamwinuka
Asteria Mwinuka :
Dr je mtu alie jifungua inapo isha damu ya uzazi nimdagani hedhi yake inatakiwa kuanza lasmi?
2025-10-13 18:44:21
2
my.nessy
my nessy :
ivi docta mwanangu anasumbuliwa na tumbo sana linaunguluma inasaba isha na nn
2025-10-13 18:08:01
0
magutumogeko8
Magutu :
NAOMBA KUFAHAMU MKE WANGU KAJIFUNGUA. MWEZI WA TISA TAREHE 18 LAKIN TUMBO LINAMSUMBUA SANA JAMAN YANI HALALI TATIZO ITAKUWA NI NINI.
2025-10-13 17:02:38
0
sevelina.said
Sevelina Said :
tulioko kijijini hivyo vykula ulivyotaja tusipokula si twafa njaa😳😳😳naomba utumpe mbadala wa vyakula hivyo 🥰🥰
2025-10-27 11:21:32
2
aishaj807
Aisha J :
jaman dada samahan naomba unielekeze ukifanyiwa oparshen unatakiwa ukae mda gani ila kushiliki tendo la ndo
2025-10-20 05:32:43
1
lspen78
Lspen :
sasa tutakula nini
2025-10-13 13:43:12
5
nyambura_shighadi
Faridah 🇰🇪 :
inshort hakuna kula fungeni😂😂😂💔
2025-10-14 09:12:15
5
fayima252
fayima :
mtoto wangu kitovu hakijaanguka na ana two weeks shida itakuwa shida nn
2025-11-15 14:35:10
1
cate.suzzyz
cate suzzyz :
umeelezea Sana Ila ww Ni daktari wa oc gani nsiwaijipata uko
2025-11-10 19:07:32
2
kamateghislain
Kamate Estheure :
mungu wangu nifanye nini yesu mutoto wangu upele na hapete wc
2025-10-25 09:51:15
2
gladness02
gladness02 :
doctor samahani eti mtoto kutete mkono ni hari ya hatari
2025-11-22 20:05:47
2
christellefaida3
Christelle faida :
jambo mimi mutoto wangu anamwezi mumoja anakini anahema sana nikwanini
2025-10-13 14:03:18
0
katheu.cyn
M.G&B :
so tule nini sasa jamani
2025-11-28 09:16:17
2
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About