@dr_kisusi: NI MABADILIKO GANI ULIYAPATA BAADA YA KUTUMIA NJIA HII YA UZAZI WA MPANGO?#uzazinisafari #mwanaume #mwanaumeimara #ttcjourneylife❤️ #mimbatips #mimbatips #uzazi #ujauzitosalama
mmmh mim pia nlipoteza period miaka yote mitatu mpk nlipotoa
2025-10-14 07:53:25
26
mama G :
period isiyo kata sikuwq na hamu ya tendo hata kidogo
2025-10-15 13:59:38
28
Glory Fabian :
Toka nilipotoa huu mwaka wa 3 Sasa natfta mimba!!! mwaka Jana nilishika ikatoka na sijui km ilikua mimba Ile maana ilikua haikui ila ukipma mimba ipo na dalili zote za kuchefukwa!!! najuta kutumia njia hiz mm😭😭
2025-10-15 10:53:22
18
Arafa Hamis :
kimeninenepesha sana
2025-10-15 09:57:12
21
mama b :
ukondefuuu duuu nlichakaaa haswaaa
2025-10-15 07:02:15
24
Nancy jojo :
sijaenda period miaka miwili tangia nimeweka
2025-10-15 10:57:22
13
binajati😘 :
period jmn period period nmekuita mara tatu nna miaka minne sijui kuvaa pendi nyie😪🥲
2025-10-15 14:47:42
6
ney :
ukishatoa unasubil p ukishaiona kunadaw unatumia unapata mimba
2025-10-15 13:19:23
2
Brinky twice :
Mi period sion Nataman had nitoe
2025-10-15 13:52:12
2
🦋Official Kidoty🦋 :
hv mbn me Changu kimeingia ndan san yn kipo karbu na Mishipa jmn na me ni mwembamba kabsa ,lkn Ile sku ya Kwanzaa kilikuwa juu juu tuu apa sas saiv yn mpk ukitafute yn kipo kwa ndaaaani san yn
2025-10-15 13:38:52
4
Nickyella :
sijawi kupata Siku zangu za mwezi
2025-10-15 15:47:46
0
estar :
mmi naingia kila mwezi naenda mpka siku 8
2025-10-15 08:16:17
4
Lizzy :
nableed sana mpk naogopa
2025-10-15 10:11:54
1
Sylvia montana :
sjapata period miaka miwili
2025-10-15 13:16:02
3
Aishfey❤️ :
nilikaa nacho miaka mitatu siku nlipokitoa nd siku niliopata mimba🤣🤣 na nilikua sina mpang wakuzaaaa😂
2025-10-15 07:43:45
7
@sally :
mpaka leo sibebi ujauzito😭😭
2025-10-15 10:54:48
1
jannat :
nimekuw kam mjiti 😁😁
2025-10-15 15:50:37
1
ummymo2 :
nilitoa miak 3 sasa sipat ata mimb😭
2025-10-14 18:04:39
1
Thabitha♥️♥️ :
dahh had nokiiona nalia tu had Sasa ni miez mnne namwagika damu na maimivu makali
2025-10-14 07:38:29
0
Teressia Amani :
kimenikonfesh kutoka naogop mimb Matt Bado mdog
2025-10-15 09:53:54
3
Veronica Mihambo :
mm jmn nina miaka minne kinaisha mwakan lkn sahv napata hali n kama mjamzitooo mala kichefu chefu kutapika homa yan sijielew kabisa
2025-10-14 18:08:13
2
taimursalum35 :
hakyamungu nilitaka kufa na pressure
2025-10-15 16:26:09
1
Khadija :
Mimi siingii kabisa
2025-10-14 18:33:27
2
gracious 🦋 :
Nimekonda sanaa😢😢
2025-10-14 19:12:03
2
To see more videos from user @dr_kisusi, please go to the Tikwm
homepage.