@afyachapconnect: NINAWEZA KUKUSAIDIA KUPONA MAGONJWA YA MFUMO WA CHAKULA! Mfumo wa chakula (Digestive System) ni moja ya mifumo muhimu zaidi mwilini — ndiyo unaosababisha nguvu, afya, na uhai wa kila siku. Lakini pale unapoathirika, magonjwa mengi huanza kujitokeza kama: ●Vidonda vya tumbo ●Acid reflux ●Gesi tumboni ●Kukosa choo ●Kuharisha ●Maumivu ya tumbo ●Typhoid ●Ini kuuma ●Bawasiri, na mengine zaidi ya 15! Habari njema ni kwamba 🙌 ➡️ Mimi Dr andrew: MHT – Medical Health Tanzania], nimesaidia watu wengi kupona changamoto hizi kutoka kwenye chanzo chake kabisa kwa kutumia njia za kiasili, lishe bora, na bidhaa za kisasa za Afya Chap Connect ■Ninakuongoza hatua kwa hatua mpaka mfumo wako wa chakula unakuwa safi, imara na wenye afya bora. 📞 Kwa ushauri, tiba au vipimo, nitafute sasa — afya yako ni kipaumbele changu. #AfyaChapConnect #MHTTanzania #HealthyLifeAcidReflux #DarEsSalaamTanzania
AFYACHAP CONNECT AFRICA (ACA)
Region: TZ
Tuesday 14 October 2025 07:16:30 GMT
Music
Download
Comments
user74798490595826 :
mm ikipand nashtukshtuk kitndan
2025-10-25 15:56:06
0
Jsamkango! :
shukran
2025-10-15 19:15:23
2
user3426133478819 :
nataka kupona dkuta
2025-10-16 19:06:46
2
Rahma :
Nataka kupona
2025-10-17 18:11:42
1
🎀 leem bae 🎀 :
namba plz
2025-10-24 05:52:46
0
Kapate Menauru :
weka namba apo bc
2025-10-22 14:38:09
0
user faith nyatichi :
hi, nisaidie basi, nipee number
2025-10-18 17:47:11
0
genes :
Dr nimechoka nataka kupona mimi Dr na ii ali
2025-11-01 12:41:23
0
el :
namba jmn nahitaji kupona
2025-10-23 19:56:53
0
indigo Mo😀 :
nataka kupona
2025-10-17 03:38:03
1
It's me🦋 :
Ni mm huyo kabisa yani
2025-10-23 08:21:04
0
user74798490595826 :
nimechoka na hii hali nataka nipone
2025-10-25 15:57:27
1
FUMIGATION DAR, MWANZA,ZANZIBA :
shukuran 🙏🙏
2025-10-15 12:01:50
1
To see more videos from user @afyachapconnect, please go to the Tikwm
homepage.