Mwenzenu naumia wallah😭😭napitia mengii sijuii hata nakosea wapii ya Allah Mimi jmnii naumia sanh nlia peke angu kma mjinga
2025-10-20 17:56:55
11
love_caption10 :
Ni kweli sana… mara nyingi tunawapa wengine maneno mazuri, tunawafariji, tunawapa moyo, lakini pale tunapokuwa wenye shida au huzuni, tunajikuta hatuna mtu wa kutu fariji. Ni jambo linaloumia, lakini pia linatufundisha thamani ya kusikiliza nafsi zetu kwanza na kujijali. Wakati mwingine, faraja tunayohitaji haikuleti kutoka kwa wengine, bali ndani yetu wenyewe, au kutoka kwa Mungu ambaye anakujua kila maumivu na kila unyenyekevu wa moyo. Hata hivyo, ni muhimu kuendelea kuwa wema kwa wengine, kwa sababu hatuwezi kujua ni lini maneno yetu yatakuwa faraja kwa mtu mwingine na hiyo ni baraka kubwa. Tupo wote kwenye safari ya kujifunza kupendana, kusikilizana, na kuupa wengine nguvu na upendo hata pale hatupati mara hiyo kwao wenyewe. 🌿💛
2025-10-16 05:32:33
17
Doug Heffernan :
Big up ndug
2025-11-10 15:25:51
1
hamad muhammed :
ameshakupa mola wako ,soma Quran kwa tafsiri ya lugha yako
2025-10-16 12:36:42
6
rouhy😍 :
natamani mtu wa kuniskiliza ninayo yapita sahii😭😭
2025-11-01 14:01:11
4
mariamrahma :
MUNGU atufanye nasi kua wenye kupata faraja ISHAA ALLAH
2025-10-15 21:24:37
9
jackie💝💝 :
nashindw kula kulala jmn 😭😭
2025-10-27 21:17:06
4
KHADIJAH🥰🦋😍 :
Napo pata uchungu huwa sina wa kumwambia zaidi ya Allah peke yake sina wakunipa bega niegamie😔😟
2025-11-26 10:59:29
2
🎀Ah.....sh🎀 :
Exactly mungu atufanye nasi kua wenye kupata faraja😞
2025-10-17 20:47:37
3
Mimer🦋😍 :
Machozi nlonayo namuachia Mungu pekee naamn atafany 🙏🙏
2026-05-22 19:51:21
1
hamuni :
mungu ampe maisha marefu mume wangu Sina zaidi yake wakunifaraji
2025-12-30 10:10:32
1
fetyabed :
mm huyo
2025-10-23 18:09:12
1
Mimaah Outfit🛍️ :
Natamani nipate mtu anikumbatie niliee kwa kwa saut afya aniambie pole mama yataisha😒
2025-11-09 05:16:47
2
@mama's boy :
tunafarijiwa namungu❤️
2025-11-23 06:51:16
2
0000000 :
That's life
2025-11-09 16:26:05
1
Shekha Feels :
ni kweri
2025-11-09 21:29:20
1
45 :
kabisaa
2025-11-25 13:29:25
1
Tumain Willison :
mungu atujarie moyo wa uvulivu
2025-12-21 10:46:02
1
Candy De717 :
🥺Inaumaa🙏
2025-10-15 16:24:05
3
Msomali🧠 :
huyu ni mie kbs
2025-10-15 05:47:08
2
Hassan Hasan :
usioneshe huzuni wengine tupo kwaajili yako my friend
2025-10-15 20:49:48
2
Juma Abdulla :
MAASHAA ALLAAH
2025-11-03 16:32:34
1
ASAK | SALEH :
DUH🥹🥹🥹.....
2025-11-12 13:37:18
1
MU ❀ NI ❀ RA ☙ 🌻 ☙ :
Wallahy 🥺
2025-10-26 20:58:51
1
Mariam :
Alhamdulilah for everything Ya Allah 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2025-10-22 08:53:01
1
To see more videos from user @majid_mazruwy, please go to the Tikwm
homepage.