@charitygiven23: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — kiongozi aliyetuongoza kwa maono, busara, na upendo wa kweli kwa nchi yetu.Siku hii inatukumbusha thamani ya umoja, utu, na kujituma kwa maendeleo ya wote. Kwa Watanzania wote, heri ya Siku ya Nyerere! Tuchukue muda huu kuenzi misingi aliyotuachia na kuendelea kujenga taifa lenye haki, amani, na usawa. #HappyNyerereday #nchiyangukwanza #sisinitanzania #amaniniurithiwetu #tanzaniayetusote