@nipebiblia: YESU SIO MUNGU BABA #yesu #biblia #liketiktok #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

NIPE BIBLIA
NIPE BIBLIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 October 2025 15:20:58 GMT
45769
1605
203
306

Music

Download

Comments

emmashepherd86
Emmashepherd :
John 10:30 I and my father are one
2025-10-15 00:33:02
3
eva.bedon
Eva Bedon :
Izo ni nafsi za MUNGU,naweza kukuambia ivyo ni vyeo,Lakini YESU ni MUNGU yuleyule
2025-10-14 15:46:17
3
..pogi3
Pogi :
mungu alimtuma yesu ...isaya 6.9. Kisha nikasikia sauti ya Bwana ikisema, “Nimtume nani? Ni nani atakayeenda kwa ajili yetu?” Nami nikasema, “Mimi hapa. Nitume mimi mwanao ..
2025-10-15 12:29:04
2
benard.misera
ben :
wapi full video
2025-10-14 15:50:44
0
wechtechwechunne
𝐊𝐮𝐤𝐚 ... :
Just believe in what you believe.
2025-11-26 18:45:56
0
apostlelusambo
Lusambo JEisGOD🇮🇱 :
wasaidieni watu waende mbinguni wamwamini kristo acheni hizo wasting of time hiyo ni issues ya uelewa hubirini watu waokoke
2025-10-14 15:32:02
1
catolicochico
Chico Católico 🇻🇦 :
Baba, Mwana Na Roho Mtakatifu wote Ni "watu" tofauti lakini wote Ni Mungu moja.
2025-10-15 08:37:39
2
user1268675066008
1881 :
wakristo sasa wanapingana wenyewe.waislam ndio wamewafunza bibilia yenu
2025-12-07 15:48:03
0
user6736093130197
user6736093130197 :
tusomeni maandiko tuache kusikiliza mapadre na wachungaji waongo wanaosoma maandiko kinyume
2025-10-15 07:15:58
2
crappykenya277
Crappy Ke :
huyu ndio pastor wa kwanza ambae anaisoma ipasavyo
2025-11-29 07:45:25
2
the.light88
ST.DESMOND :
Kama yesu sio mungu baba enda uislamu
2025-10-14 16:01:28
2
user3805044696943
KHWANYONGESA :
huyu ni muislamu ujinga mtupu
2025-11-05 12:24:46
1
user87941908627351
kossy :
yesu ni mungu ukatae ukubali
2025-10-15 12:46:26
1
pmafterlunch1
pmafterlunch7 :
hata kama sijasoma vitabu kama ww..ila ninaufahamu yesu ndiye Mungu baba katika mwili...mungu ni Roho kwa hivo anaweza tumia mwili wowote...yesu ni Mungu baba
2025-10-15 04:50:29
1
joseblessed0
blessed :
Mtoto wa nyoka??? ....
2025-11-26 19:51:28
1
verification023
Account verification services :
akuna mtu amewahi muona mungu so my question is, yes ni mtu????
2025-10-16 12:03:53
0
mwanafunziwayesu640
pascal :
Weye mumepoteya hamujuwe kitu ufunuo wa roho hamuna moto inawachunga
2025-10-25 05:29:54
0
the.light88
ST.DESMOND :
Huyu ni fala hakuna kitu nitamuelewa
2025-10-14 16:02:25
1
chitapkooreet
Mandela kibet :
SDA.......wame potea manabii wa Uongo
2025-10-15 08:03:06
1
azmin.shakila
Azmin Shakila :
nyinyi wenyewe chomaneni kwa mafuta yenyu
2025-10-17 16:22:45
1
jacob.mswahili
Jacob mswahili :
wewe ni ng'ombe tu soma yohana 14:6-14 yesu alisema aliye niona mimi ameona baba kisha petro akamwambia tuonyeshe baba yatutosha ndipo yesu akamwambia nimekua nanyi siku zote haunijui petro so yesu ni siri na huez mjua kwa mjadala tu ila kwa kumwamini kupitia roho mtakatifu
2025-10-15 06:57:21
1
izraeli3
IZRAELI :
Hapa Nakubaliaana Na Wewe 100% YAHUSHA Awezi Kua YHWH Kuna YHWH na YAHUSHA
2025-10-15 10:22:51
0
njoroge0000
njoroge0000 :
mko sawa mnafanya poa, watu wanafunguka macho MUNGU awabariki.
2025-10-16 17:31:18
2
luckj20
Ethiopian :
Hadi Leo Kuna wale husema Yesu ndo Mungu baba, Mungu baba ni Yehova, Yesu ni kristo
2025-10-15 02:41:17
1
fazirfeisal
fazirfeisal :
Goma limerud kwa kipa🥰🥰🥰
2025-10-14 18:55:28
1
To see more videos from user @nipebiblia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About