@1j18i: سيد فاقد الذاكر محمد نعمه. لطميه اسمه حيدرة كامله ✌🏿🔥. موكب المواساة اهالي الحيدرية #سيد_فاقد #الذاكر_محمد_نعمه #النجف_الاشرف_الحيدريه_خان_النص #موكب_المواساة_اهالي_الحيدريه #الساقي

مـــحـب لـــ فـــاقـــد🖤😕.
مـــحـب لـــ فـــاقـــد🖤😕.
Open In TikTok:
Region: IQ
Wednesday 15 October 2025 08:46:15 GMT
6413
285
4
26

Music

Download

Comments

klo_kk7
kollmm Nnnn :
اور
2026-06-25 15:24:21
0
ali_ammar24
الرادود علي الصغير :
🥰🥰🥰
2025-10-15 10:34:00
1
user6172779056925
حسوني البخت :
🥰🥰
2025-12-27 07:54:31
0
klo_kk7
kollmm Nnnn :
🥰
2026-06-25 15:24:01
0
To see more videos from user @1j18i, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

☑️☑️☑️Kutibu vidonda vya tumbo mapema ni muhimu kwa sababu vikichelewa vinaweza kuleta madhara makubwa kwenye mfumo wa chakula na afya kwa ujumla. ☑️☑️Baadhi ya sababu muhimu ni hizi: ☑️☑️Kuzuia kutoboka kwa tumbo au utumbo 🟥🟥Kidonda kikizidi kinaweza kutoboa ukuta wa tumbo au utumbo na kusababisha maumivu makali sana pamoja na hali ya dharura hospitalini. 🟥🟥Kuzuia kutokwa damu ndani ya tumbo 🟥🟥Vidonda vinaweza kuharibu mishipa ya damu na kusababisha mtu kutapika damu au kupata choo cheusi kama lami. 🟥🟥Kupunguza maumivu na kiungulia cha muda mrefu 🟥🟥Watu wengi hupata moto kifuani, maumivu ya tumbo, gesi na kichefuchefu kila siku bila kujua kuwa kidonda kinaendelea kuongezeka. Kuzuia kushindwa kula vizuri 🌲🌲Vidonda vinaweza kufanya mtu akose hamu ya kula, apungue uzito au ashibe haraka sana. Kuzuia madhara ya bakteria wa H. pylori 🌲🌲Mara nyingi vidonda husababishwa na bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori. Wakibaki tumboni muda mrefu wanaweza kuongeza hatari ya matatizo makubwa ya tumbo. Kuzuia kutumia dawa ovyo ✴️✴️Watu wengi hutumia dawa za maumivu au dawa za kupunguza acid bila uchunguzi, hali inayoweza kufanya tatizo liwe kubwa zaidi. ‼️‼️Dalili zinazopaswa kuchukuliwa kwa uzito ni: ❌Maumivu ya tumbo yanayorudia mara kwa mara ❌Kiungulia kikali ❌Kichefuchefu ❌Kutapika ❌Tumbo kujaa gesi sana ❌Choo cheusi ❌Kupungua uzito bila sababu PG kwa matibabu 07**53492/*381#viraltiktok #creatorsearchinsights #fyppppppppppppppppppppppp #kenyantiktok🇰🇪 #afya

About