@marie_store_: Pajama za kike nzuri kabisa kwa matumizi ya nyumbani unavaa wakati wa kulala au jioni muda wa kumsubiri ba mjengo arejee nyumbani zipo kwenye size zote small hadi 2xl kwamaana mtu mnene anavaa na mwembamba kama mie pia anavaa ziko very sexy hazipauki na wala hazichuji ukifua…Karibuni sana wapenzi wangu delivery ipo tunafanya kwa gharama za mteja💋💋 Bila kusahau ukichukua pajama kwetu unapata na scrunchie moja for free😍karibuni sana nawapenda #tiktoktanzania🇹🇿 #funny #viraltiktok #trend #pajamaparty