@bongo_zilipendwa: Usiusemee moyo Kutoka kwa the greatest to ever do it Lady Jay dee. Ngoma kutoka kwenye album yake ya Binti iliyotoka mwaka 2003, ikiwa na ngoma kama Siri yangu, mawazo, wanaume kama mabinti na hits nyingine timeless. Hii ilikuja baada ya album yake ya Machozi iliyotoka mwaka 2000. Usiusemee moyo - Lady jaydee #zilipendwa #zilipendwabongo #oldbongoflava
😂😂😂😂😂sasa huyu dada ndio mm nilikuwa naona maigizo kumbe ni future me 😁
2025-10-19 15:49:41
86
Shemahonge hardware’s :
Wadada wa zamani walikuwa wazuri jmn🥰
2025-10-19 16:39:29
32
Ve Luxury Treats :
Now we understand the lyrics 😂😂😂 huko alikoooo😂
2025-10-20 04:26:46
4
Callie Mbwambo :
Huu wimbo unaumaaaa mnooo😂😂😂😂😂😭 uwiii
2025-10-20 09:25:02
9
Mercy Fabian :
kitamboo aisee nilikua dalasa la nne nikiludi tuu shule kazi yangu nikumuigiza sauti yake uyu dada🤣🤣🤣
2025-10-19 11:53:08
30
Beatrice wigs :
devota
2025-10-20 15:21:21
2
Fatina Mwasha :
Tunaomba instrumental ya hii nyimbo au karaoke plz
2025-10-20 18:25:10
1
Ms.Ernest :
Kujua nyimbo hizi ni interest ya mtu.
Binafsi Baba na mama angu ni watu wanaopenda mziki tangu Enzi so najikuta najua nyimbo nyingi za Enzi kwasababu nimekua nazo huku wazazi wakisikiliza kwenye radio.
2025-10-20 21:51:10
4
Christina Mauki :
watoto wa2000 awawezi juwa hii nyimbo🤣
2025-10-20 13:09:05
3
supergal💋💋 :
unangoja na kusubiri utasubiri sanaaa😀😀😀
2025-10-20 12:59:58
4
mumu :
skuiz ata atuachi kipoe tunakula chamoto 😀
2025-10-19 15:06:14
6
tadeitesha :
daaa kitambo sana tu sana
2025-10-20 10:04:58
2
Mussa :
Dah Nimekumbuka mbali sana miaka ya elf mbili mwanzoni
2025-10-21 06:58:12
2
Neema :
Nilijuaa n nyimboo😅😅😅aloooo
2025-10-19 20:23:00
13
Lucie🤎🦋 :
Alikuwa mtabili 😅😅
2025-10-20 06:31:57
2
Baba nefes :
hivi wanawake wenye matako makubwa walitoka wapi mbona zamani awakuwepo au niache ujinga🤣🤣🤣🤣
2025-11-06 18:44:52
0
PREMIER AUTO SPARE PARTS :
wimbo ni nakuambia siri yangu
2025-10-20 13:11:20
1
SIGN OF THE ZODIAC :
Ngoma za Jide hazichuji kabisa yaani
2025-11-06 10:41:06
2
Nolasi6666 :
kitambo iyo
2025-10-19 11:54:37
4
JITU JINI👿 :
wa afu 2 wacheze tu singeli hawajui utamu wa huu wimbo 🤣
2025-10-20 16:33:02
3
mamaG :
daah kitambo jmn mweee😂😂
2025-10-19 15:01:26
1
user8768369075405 MERY :
uyu dada saiz nimzee sana
2025-12-08 08:40:21
1
26 :
Kama umeskiliza huu wimbo wewe unastahili vitukuu 😂😂😂😂
2025-10-19 21:42:04
1
Ali Hassan cardy :
old is gold
2025-11-16 06:07:41
1
balanjuna :
Uyo video Queen anaitwa Devothe Chua , Moja ya pisi za kwenda kpndi iyo...
2025-10-23 06:04:48
3
To see more videos from user @bongo_zilipendwa, please go to the Tikwm
homepage.