@biggietoolsmachines: ⚡ EASY POWER DIESEL GENERATOR – EP7500T ⚡ Nguvu ya uhakika kwa biashara na matumizi ya nyumbani! Generator hii ya kisasa imebuniwa kwa Japan Design ikikupa utulivu, uimara, na matumizi yenye ufanisi mkubwa. 🔹 Power Output: 7KVA 🔹 Model: EP7500T 🔹 Type: Silent Diesel Generator – inafanya kazi kimya na kwa ufanisi 🔹 Durable Design yenye magurudumu rahisi kusogea 🔹 Uhakika wa mwaka 1 wa warranty 💰 Bei: 2,350,000 Tsh Usikubali kukosa umeme tena! 💡 EASY POWER inakupa nguvu ya uhakika kwa muda wote. 📍 Inapatikana Easy Tools & Machineries #EasyPower #DieselGenerator #SilentGenerator #EasyTools #MashineImara