@pizzo2025love: #romantic #tiktokviral #Relationship

pizzo eye 👀
pizzo eye 👀
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 October 2025 16:34:57 GMT
880014
19079
879
1167

Music

Download

Comments

zephaniazephanias8
Shimwella :
wangapi mmeona kitakachotokea baada ya wiki moja
2025-10-18 08:28:27
145
gabrielkimario8
Gabriel Kimario :
Alivyo sema nikuombe kitu nikajua anaomba hela😂😂😂
2025-12-28 13:27:32
23
raymacho6
Raybabe 16 :
wanaume wenye maneno matamu kama huyu Ile akikula tuuu shwaaaaaa bin shweeee mzaa shwiiiiiiii 👀
2025-11-06 03:38:00
56
user530127186320
happy :
si atokee mwanaume anitongoze kwa maneno kama aya nimkubalie alafu tuishie ivyo basi
2025-12-01 15:32:32
14
wizy.dulla
wizy dulla🇵🇹 :
kumbe nishaipata mistar ngoja nii download maana kwanilivyokuwa domo zege itanifaa
2025-10-17 18:26:17
18
wardagau
W.a.r.a :
ww kaka kaa na mmoja bc.sw🙂🙂😇😇
2026-01-04 23:00:43
0
naomi.samson4
Nanaah ❤️G🥰 :
ila safina nae kajilahisisha mapema mwee😂😂au pizzo umepulizia kitu😳
2026-01-09 18:34:05
0
ramy.beib
ramy beib❤️‍🔥 :
mimi tuu ukishanambia ivyo najua kabisaa apa nadanganywa😂
2025-10-18 03:27:05
31
linahgirl7
linahgirl7 :
M mwanaume akishasema kuna kitu nataka nikwambie moja kwa moja najuaga tu
2026-01-05 19:14:38
1
dolphina306
Dolphina ♥️ :
hahah
2025-10-18 10:00:28
13
user6937622929509
zakia kutura :
😊☺️ñamie natabasamu tu hata sielewi
2026-01-09 20:50:18
0
double.d705
Double D 💫👊 :
uwezi pinga namna hiyo😂😂😂😂😂😂😂 big up (PIZZO)
2025-10-17 15:29:32
10
userhanvet
-Han son :
sema na ww unamaneno mengi hatar
2026-01-09 13:14:35
1
dainessemmanuell
Dimpoz🥰 :
pizzo 🤣🤣🤣 nakuita mara 10
2025-10-17 07:48:29
7
odriah.stellah
Odriah stellah :
Hawa ndio walio kuwa wanafeli darasani maana sio kwa maneno hayo yaan
2025-10-18 14:46:48
5
winne157
Winne4484 :
makubwa haya
2026-01-10 21:22:11
0
pizzo_man1
pizzo man :
weeh iiiih ni maajabu yan dem namb akujui alaf amekubal ndan ya Lobo xaa duhh 😄😄😁😁
2025-12-03 13:03:09
5
mbishi12
Mbishi :
Ndio anakubal kirahis hvyo
2025-10-17 07:59:46
6
burssbraib
Mogryolomide :
dem mlain ivo c tungepata weng
2026-01-09 02:06:33
0
user6330544790288
safina HD :
sio hv mwajina wangu jmn kaza kidogo walau ufatiliwe kwanza
2026-01-07 18:50:17
0
baggaboy27
Bagga boy :
Oy nipe code kaka
2026-01-08 10:36:50
0
z.a15695
Zuu♥️🦋🔐 :
Ogopa matapeli safina
2026-01-03 15:56:25
3
mkwejimtuwawatu7
Mkweji Mtu wa Watu :
i like it😂😃😄😁😆
2026-01-06 21:48:26
0
user9595747547690
masunga makala :
umeua sanaaaaa
2026-01-06 16:48:51
0
To see more videos from user @pizzo2025love, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About