@mwasumbi_electro: Kwa bidhaa bora, Nzuri na uhakika Basi karibu dukani kwetu Mwasumbi electronics ujipatie kile upendacho kwa bei nafuu mno Ukinunua bidhaa dukani kwetu tutakupa warranty ya kutosha kabisa ya hiyo bidhaa pamoja na free delivery kwa wakazi wote Dar es salaam Pia wale wateja wote mikoani tunatuma mizigo yenu kwa uaminifu mkubwa sana 📍TUPO KARIAKOO KARIBU NA JENGO LA CHINA PLAZA MTAA WA UHURU NA NDANDA 📞0756957404 📞0756957404 @mwasumbi_electronics_ @mwasumbi_electronics_ #electronics #kariakoo #daressalaam #zanzibar #tanzania🇹🇿
mwasumbi_electro🇹🇿
Region: TZ
Saturday 18 October 2025 04:33:46 GMT
Music
Download
Comments
oxigene.12 :
43 smart tv shingapi ?
2026-05-03 12:11:16
0
Edo Mtindass :
Hisense Inch 55 framless Smart bei gan?
2025-10-18 09:33:40
1
officialmomo756 :
inch 50 hisense smart bei
2026-05-04 08:37:16
0
NB ELECTRONICS :
Acha kudanganya mkuu
2025-12-09 07:10:35
2
Queenice :
Nilikumis
2025-10-18 05:29:52
1
Eddie_Nghwenzi✨️ :
58 smart tv ni shingapi boss
2025-11-23 17:59:59
1
Dutta :
Mkuu naomba kufahamu pia Bidhaa za Hisense Original zinatengenezwa nchi gani?? ukiachana na hizo serial no.
2025-10-18 09:20:40
2
stephen_gamaya :
price
2025-10-18 04:41:46
0
Winifrida Lazaro :
nchi 43 bei han
2026-02-07 07:57:30
0
costajr2000 :
tv yangu hisense inch 58 imepasuka kioo matengenezo inaweza kuwa shingapi
2025-10-18 10:46:19
6
lndhary Ally :
Hisense nchi 32 bei gani kaka
2025-12-21 11:17:02
0
mwajabuathumani :
nchi 65 bei gani
2025-12-01 10:25:14
0
Wankomange Company LTD :
tv used
2026-01-07 19:32:45
0
maryam8 :
eti kaka hisense 55 shingap
2026-02-07 12:48:55
0
Love :
masumbi ni mmoja tu
2025-10-23 10:09:47
0
Kize :
55' ULed Smart, shilingi ngapi?
2025-12-01 18:13:37
0
Enos mchomvu :
Nina nchi55 nataka 65 niongezee bei ganii
2025-11-11 08:37:40
0
Benmee254 :
Hivyo mchina hawezi linganisha hizo serial namba mbili
2025-11-30 07:49:01
0
pascalchuwa6 :
Muongo sireal namba zote zinandikwa na mkono brand zote za tv
2025-10-18 10:06:32
3
FARUKI KESSY :
nchi 43 beigani mkuu
2025-11-09 17:18:59
0
SUZANA MWAMWAJA🥰🥰🥰🥰🥰🥰 :
nchi 32 sh ngp
2025-10-20 09:13:29
0
RAISI WA MAWINGA KARIAKOO 😎🦍 :
Broo ukichambaa snaa utatoka na mavii …😎Nafkili utakuw umenieelew nn namaanishaa
2025-11-20 00:22:49
0
🦋 karma ♎️ :
Hisense Qled 65 inch ni si gan?
2025-10-23 11:02:23
0
lambonkbalele :
mimi nipo kahama kakola napataje
2025-10-19 05:06:25
0
King_suleyshi_26 :
Mnapatikana wapi
2025-10-18 19:15:38
0
To see more videos from user @mwasumbi_electro, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.