@gracelion1: 😔Asante Mungu wangu maaana wewe umekua mwema kwako haikuwa rahisi mume wangu kutoka hapo lakin kwa Mkono wako ametoka akiwa salama hatutaacha kukutumikia daima Mungu wetu 🙏🙏 #tanzaniantiktok🇹🇿 #congotiktok🇨🇩 #nigeriatiktok🇳🇬🇳🇬🇳🇬 #prophetdavidlion #viraltiktok