@42fadhili: #fyp #tiktokviral #creatersearchinsights #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿

nnembili
nnembili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 October 2025 06:37:45 GMT
616204
17654
705
430

Music

Download

Comments

user6788284862744
miriam :
kazi zuli naombaa jina la nyimbo
2025-10-20 04:53:24
20
mapep_81
BABY GIRL💋💢💯 :
nimekupenda ww🥰🥰🥰
2026-03-15 16:06:37
1
cuteree26
RACHEL SLEEPWEAR 🎀🛍️ :
10/10
2025-10-20 15:38:01
2
baby.girly85
baby girly💞💞 :
Nimempenda rafiki yako
2025-10-21 17:38:00
4
saby.makavash
Saby Makavash :
kachiri hizo,,,,nayo Naja kulia soon🥰🥰
2025-11-28 10:04:55
2
user7800461279185
saumuu :
mko wap
2025-10-19 09:53:52
1
stellabosco19
stella bosco :
uko vizuli kaka nakazi yako
2025-10-28 07:38:15
2
mapep_81
BABY GIRL💋💢💯 :
mhhh kam kwl
2026-03-15 16:27:21
1
mirrohy3
M!rro^yh☠️☠️☠️ :
😂😂😂kwel wanangu vitukoo
2026-03-19 23:08:42
0
user8412461231135
alpho ntumba :
🥰🥰🥰🥰
2025-10-25 14:22:37
1
dayanawilliam852
Dayana William :
🥰🥰😄😄
2025-10-25 15:34:52
1
ramsoiyobow9
Ramso Iyobo :
🙏
2025-10-21 14:55:53
1
beautifulmamaje5
Shimi 💝🎀🇧🇮🇨🇦🎀 :
🤣🤣🤣🤣🥰🥰
2025-10-19 20:26:40
1
nadhirana245
Nadhira Na :
Mimi namtaka uyu alie busy na kazi😂😂
2025-10-20 15:27:09
70
dianadenis775
Diana denis✅ :
Mpaka uungue matako ayo
2025-10-19 15:48:53
15
daughter0300
@daughter 🦋✝️ :
kibarua anacheza kulko boss kweli nimeamin uchawa kaziii🤣🤣
2025-10-20 05:47:13
7
fatmaally340
Fateema😍 :
Ningekua mpenda taarab ningechagua hiii😂😂maan Kuna kampangaji kila kukicha anaweka Ile wee hekaheka zangu nazan unazijuaa nikiamua lngu Nan atazuiaa.. Ananichosha amefanya adi nmeikaririi.. Bt hii ya kauthar ni the best
2025-11-17 14:33:45
6
husna.kilomo
HUSNA KILOMO :
😂😂mbwembwe na mafuta kakanguu
2025-11-26 10:18:04
5
sweetie.lizzie
sweetie lizzie🥰❤ :
hizo clips zitakuwa nzurii sana👌
2025-10-19 14:43:55
4
aisha.kiluwasha
Bint Ramadhan 🥰💕🥰 :
Kazin Kuna kazi 😂🤣🤣🤣😂 Hawa ndo wale wakumaliza ugomvi nyumbani 🤣😂
2025-11-20 11:52:21
3
shuuudelove
Shuuudelove :
nachoka mim mtoto wa cremes mwandambo 😂
2025-10-20 21:28:59
3
rashunay
Rashunay :
Jumla unazaje boss zlokua hazjafungwa
2025-10-20 09:29:05
3
user1347549242620
mrs fa💕dhir💖💓 :
angalia usiangukie jikon😄😄
2025-10-19 11:02:45
3
baby.b731
Baby B❤ :
waooo mashallah.huna bayaaaa🥰🥰🥰
2025-10-20 05:19:09
3
sweetie7284
Sweetie :
please nataka kujifunza hiyo kazi dada enu apa naomba cod
2025-10-20 12:22:37
3
ge2peter1
Ge2 peter :
we fanyakazi unamtegea mwenzio
2025-11-07 05:38:15
2
abduomary616
Abdu Omary :
anakipi kanini sijui😂😂😂😂
2025-10-20 08:54:03
2
user985327422224
user985327422224 :
Nataka crips za viaz mnapatkana wap
2025-10-28 07:41:09
2
elicey4
@elicey❤️ :
Awwwww❤😂
2025-10-20 05:04:29
2
nax7424
nax :
ayaaa 😂😂 wakina anko nailiu walianza hv
2025-10-19 08:34:51
2
mysarah47
My sarah🦋❤️ :
Mtizame nahekahek zake asijekuunguza mafuta yamoto🤣
2025-11-19 17:57:10
2
missed_call_mustan1
missed call mustan :
mihogo iyo au sio
2025-10-25 16:19:40
1
misskidot1
khadijayahya :
@Amina juma yahya njooo huku😂
2025-10-26 09:54:30
1
sifaelibariki
siffah🥰 :
acha kutegea fanya kaz🤣🤣🤣
2025-11-26 17:59:16
1
nicee0347
Nicee💕 :
mara zigusishwe kifuan sili
2025-11-26 17:46:04
1
bahari.mohamed76
Bahari Mohamed :
kazi na dawa kaka
2025-10-24 17:12:44
1
maryamjaphet988
Maryam Japhet :
Jina nyimbo usijitie heka heka like hapa
2025-10-26 07:54:06
1
maryamjaphet988
Maryam Japhet :
na mm nipe Jina la nyimbo
2025-10-26 07:52:06
1
aniwna7
Aniwna🥰💖 :
😁😁😁
2025-10-24 20:07:35
1
jesca5547
jesca :
jamani wimbo unaitwaje😂😂
2025-10-24 20:18:02
1
kadalashilingi
Kadala Shilingi :
jina alieimbaninani
2025-10-25 14:59:34
1
japharichogo
japharichogo :
hii nyimbo kaimba nani
2025-10-24 21:11:14
1
fatwawil
@Fatwawil❤️ :
Jumla bei gani
2025-11-26 15:49:07
1
momtripleh3
Mom tripleH³ :
mkiendelea kumchekea mnampoteza huyu.
2025-10-25 12:25:54
1
siwemahamisi267
Siwema Hamisi :
kazi na dawa🥰🥰🥰🥰🥰
2025-10-25 13:18:37
1
user534449user5344496
patrishadaudi8 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-11-27 08:07:12
1
sabrina2449
sabrina :
😂😂😂
2025-10-22 15:20:53
1
wanamisiyayu
wanamisiyayu :
😳😳😳 unajua kujibinua midomo aweee
2025-10-21 13:03:42
1
mariamhamadi833
sweetmamuu80 :
😂😂😂🤣
2025-10-21 14:51:20
1
mwanaid85
Mwanaid85 :
Umeanza kutukipikia lile kende 😂😂😂
2025-12-18 08:38:54
1
user4504347347825
12 :
kaz kazi😅☺
2025-10-21 16:26:44
1
aldizer043
cute A da cute :
😂
2025-10-21 19:00:50
1
judithkimati235
Judith Kimati :
hongera kaka
2025-10-21 19:29:57
1
scola.julius0
Scola Julius :
Kama na mjuwa huyu wakapero😳😳
2025-10-21 19:51:43
1
sofia.yasin8
Sofia Yasin :
tunapika crpsi lakini sasa kuzitoa kama ivyo tunashindwa au zina mashine zake spesho za mihogo🙏
2025-10-22 08:43:09
1
To see more videos from user @42fadhili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About