Wallahi sheikh othuman maalim nakupenda kwa ajili ya Allah hakika nitakuja zanzibar kwa sababu ya kukuona, yarabi nitoe katika mgongo wa ardhi ilhali nimeonana na sheikh wangu pendwa 🤲🤲😢😢
2025-10-20 06:48:16
222
Itx husna Collection :
wanawake wazuri hawapati wanaume wazuri
2025-12-03 10:55:29
14
Tharishi :
HAPO kwenye mke mzuli ndio mtihani shekh majanga matupu😌
2025-10-20 04:14:40
90
rasheedahashamsam :
Mke mzuri hutokana na mume wake👌❤️❤️!Mume akikupa heshima yako lazima tu utakua mke mzuri
2025-10-22 13:54:37
38
@🌸Hawaa🍎🥷🏻 :
🤲🤲🤲 tujalie na sisi waume bora
2026-01-05 18:22:17
5
Shuraym Shaa'h :
Naam shekh, Allah atujalie khery tuweze kupata wanawake bora na wenye imani 🙏
2025-10-19 19:30:44
23
msabahmsabah27 :
kwel xhe wetu allah akupe maixha marefu sh wetu amiiiiiii
2025-10-19 15:58:16
9
yerubaal :
yarab naomb utujalie mwixho mwemah
2025-10-21 15:07:31
4
Hashim@abu :
S.A.W
2025-10-19 18:12:48
14
𝑁𝑜𝑜𝑟 𝑀𝑢𝑚𝑡𝑦💫 :
Allah awajaaalie mashekhe wetu umri na Afya
2025-10-22 05:39:41
14
Empty wallet :
S A W
2025-12-26 00:35:13
1
voque🫶. :
SUBHANAALLAH...... Allah Atupe subra kwa kila kitu inshaAllah...
hakika athuman maalm laiti ningelikua na uwezo ningekuja kuolewa na weye , kwa ajili ya kujua kusoma dini Barbara!😭😭😭😭 maana Sina elimu mm yaan nipo kwenye hasara kubwa,
2025-10-22 19:30:54
3
queen_hodan41 :
sallalahu caleyhi wasalaam
2025-10-25 09:53:43
2
classic_tz_3 :
Mimi n wakaanza shee😂😂😂
2025-11-23 13:11:16
2
ABU MD.RAMADHAN.. :
maneno mazuri
Allah akuhifadhi 🤲
2025-11-19 20:38:19
2
Khery Swedy :
Muhammad s.a.w ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-01-08 20:38:01
2
M :
S.A.W
2025-10-22 13:19:21
1
To see more videos from user @gentle_hb, please go to the Tikwm
homepage.