@m..classic03: #tiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #motivation

Wabongo
Wabongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 October 2025 18:06:34 GMT
792500
55830
522
1765

Music

Download

Comments

admon_17
Admon_17 :
huwa unaendaga wapi ukimaliza kuongea😂
2025-10-19 19:32:23
301
j93joseph5
J93 Joseph :
ufunguo uko na kazi mbili kufunga na kufungua so take care😃
2025-12-09 18:50:11
9
davidbalayaz222
David Balayaz :
ukiwa umeajiriwa huwezi muelewa Bongo
2025-10-20 17:35:59
144
dalaxhboy
D@L@$H_BOY :
lazima tusome kwanza ili tujue kusoma sio lazima 😂mi bado sipo sawa🫡
2025-10-20 05:11:58
100
calvano36
Calvano36 :
huwezi Kuta kofuli mlangon nikunyime like
2025-10-19 18:59:23
124
emma2003155
kilimbasamwel78 :
kakah me nakukubali sana💪💪💯
2025-10-19 19:32:49
44
themaggiemaface
Lyfe of Maggie 🦋🤎🦋 :
Hauwezi kutoa code za maisha ivi afu nkunyime Like 😂👊
2025-10-23 16:37:54
19
matolakasa
matola :
Amni kaka nakukubali kwa code kali🔥🔥
2025-10-20 20:15:10
17
user5348271046726
chipata boy :
uyu jamaa amewai kuwa sawa
2025-10-20 03:43:56
14
mcswallo
𝐬𝐰𝐚𝐥𝐥𝐨 𝐌𝐂 :
fact🥰
2025-10-19 22:16:05
5
bakunda_jr
Bakunda Jr 🙏.. :
daaah kusoma co lazima ila lazma tusome kwanza ndy tujue kuwa kusoma sio lazima 🤣🤣
2025-10-22 09:07:51
8
dankoreezy
𝐀𝐍𝐊𝐎 𝐃𝐀𝐍𝐊𝐎 :
tupewe Kodi kutoka kenya
2025-10-19 23:11:57
10
mwambole3
Neyba1st Richardson :
Elimu so ufunguo wa maisha Ila ni mfumo unaokusaidia kuwasiliana kupitia mandishi na kuandika mahesabu ya umli uliopoteza shule
2025-10-27 19:34:29
5
josephinajustas
Josephynewarder :
Hv mnajua hii kauli ya tusome kwanza ND tujue kusoma sio lazima ipo serious sana
2025-10-23 20:29:19
9
magunilangasala
Magunila Ngasala :
Kama halifunguki Vunja tuu man Mana zipo Hadi key 🗝️Master
2025-10-23 19:15:17
5
deodee2.5m
VITU ADIMU PORK POINT 🍽️🚚🚚 :
mule mule wanangu wanapita🥺💔
2025-10-23 20:03:50
5
abuushante
Abuu Shante :
jamaa uko vizuri
2025-10-20 20:00:35
5
user8407117439483
Dk moo official :
mibado siko sawa😊
2025-10-22 06:46:10
5
jamalkashmiri360
JAMAL :
najiuliza ukiwa sawa itakuaje siku iyoo
2025-10-21 13:09:02
7
jacksonmumba5700
Jackson Mumba kingi :
ausio
2025-10-19 19:35:01
9
sargent045
sargent045 :
tareh 29 utakuepo mkuu
2025-10-19 21:00:36
44
official_daddy_sam
official daddy sam 💦❤️ :
maisha Ya kwelii 🔥🔥 wabongo crew 🔥🔥🔥
2025-10-20 03:22:41
6
abdullahmakasy
@Makasy_04 :
asa km iv to haupo sw ukiwa sw itakuaje
2025-10-19 19:44:37
20
timothyvitus
vivø32 :
fact
2025-10-19 20:35:11
7
sabiboe
Covuh.kidayo🌴 :
Unashida wewe
2025-10-20 03:58:17
5
To see more videos from user @m..classic03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About