@vital_artmedia: Gradient Masking In Adobe Illustrator 📩 DM / WhatsApp (link in BIO) for Professional Logo, Branding & Publication Design 👍 Usisahau Like & Save kwa inspiration zaidi 👉 Follow @vital_artmedia for more creative designs! #tips #masking #illustrator #brandidenity #vitalartmedia
Vital Artmedia
Region: TZ
Monday 20 October 2025 06:44:54 GMT
Music
Download
Comments
samtz :
nipo na wewe bampa tu bampa❤️❤️❤
2025-10-20 07:34:18
5
Jöah :
naomba nielekeze jinsi ya kudownload adobe photoshop
2025-12-08 19:09:25
2
m.j.africanchild :
asante ndugu
2025-12-29 03:51:57
2
Masele David :
unatumia ohotoshop ipi??
2025-12-19 21:32:25
2
𝐌ɛ𝐲𝐤ɛ𝐥ą𝐭ö⁸ :
Thanks 🙏🏿
2025-11-07 13:20:48
1
Clint | Graphic Designer🇰🇪 :
amazing 🔥
2025-11-03 11:15:43
1
Angel :
exactly
2026-01-15 09:40:22
2
Design • Branding • Visuals :
Mbona mm naona kama hii kwenye PS ni chap tu unamask unaingia gradient tool unaaply
2025-11-20 17:43:22
3
Myque :
pongezi
2025-12-03 20:52:04
2
CALEB TZ :
na save vipi ume ban
2025-11-06 06:32:28
1
vinlyrics0 :
Unyama
2026-02-20 07:16:30
1
DULLA DP official :
unyama sana
2025-10-22 20:07:39
3
jamii ni watu :
kazi nzuri 😇
ila mbn umekataza ku download 😥
2025-12-06 19:45:59
2
Lenny Tz :
siwezi nyima like kwa kwel
2025-11-23 16:13:15
2
Kiluwa :
Illustrator Kuna vitu ni mateso sana kwenye Corel Draw Hii una drag tu Area unayo taka kwakutumia Transparent tool 🥺
2026-04-18 19:58:59
2
ToptenVisualGraffix :
asante sana niliitafuta sana finally
2026-01-29 14:42:00
0
Password :
Coreldraw baba lao hii ni ya watoto
2025-10-26 10:49:00
3
kaziyao :
big up sana bro✊✊
2025-11-06 13:00:22
2
ARGORNy :
Hivi hii Adobe illustrator ni free version au ni paid version.
2025-12-22 06:51:29
1
Mlaja designer :
Big up shekhe tuletee mavi2
2025-10-20 17:24:51
3
Graphics designer :
Hii ilikuwa inanisumbua sawa wakati najifunza illustrator
2025-10-21 19:02:19
2
𝐌𝐰𝐚𝐥𝐮𝐤𝐨 𝑱𝒏𝒓✨ :
thanks🙏
2025-10-23 09:39:26
1
Komba Sept Baruani :
Asante sana pale unaongoza vizuri
2025-10-21 13:06:23
1
BLACKPEARL STUDIO & STATIONERS :
kwanza nikupe pongezi kwa kazi nzuri unafanya. tutorial zako taratibu kufatilia🫡
2025-10-28 14:58:22
3
MELI YA MAWE :
mimi Bro Nahitaji Adobephotoshop
2025-12-11 09:41:06
1
To see more videos from user @vital_artmedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.