@bibliatanzania: 📖✨ Biblia za Kiswahili Sasa Zinapatikana! ✨ Tuna ukubwa tofauti kwa mahitaji yako yote ya kiroho 💫 📏 Bei za Biblia: 📘 Small — 25,000/- 📗 Medium — 35,000/- 📕 Large Soft Cover — 45,000/- 📙 Large Hard Cover — 55,000/- 📔 Large English & Swahili (Bilingual) — 80,000/- 💬 “Maneno haya niliyokuamuru leo yatakuwa moyoni mwako.” — Kumbukumbu la Torati 6:6 💎 Kwa nini ununue Biblia yako kutoka Heaven’s Craft: ✔️ Ubora wa karatasi na maandishi yanayosomika vizuri ✔️ Vifuniko imara na vya kuvutia ✔️ Tunatoa customization (jina lako au zawadi ya kipekee) ✔️ Ni zawadi bora kwa wewe au umpendeaye 💝 📍 Heaven’s Craft – Mwenge ITV (Tafuta Heaven’s Craft kwenye Bolt au Google Maps) #HeavensCraft #BibliaZaKiswahili #NenoLaMungu #ZawadiYaKiroho #BibleGift

Heaven’s Craft
Heaven’s Craft
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 October 2025 03:23:17 GMT
26349
1032
54
59

Music

Download

Comments

thisisdickson_
GiAnt :
Kuna biblia ya kiswahili toleo la Neno: Biblia Takatifu ?
2025-10-21 11:08:07
2
tinawilly6
tina :
mnapatikana wap
2026-02-17 07:49:12
0
mamy.ared
mamy ared :
unapatiakana wap
2025-10-21 15:25:24
0
brisheaniy
mrs black :
mpo wapi
2026-01-25 13:32:30
0
ester_mkumbo1
Ester Mkumbo Brand :
bei
2025-12-18 06:37:51
0
bosssherry3
baby sherry💖 :
iyo ya elfu 25 inakuwa na agano jipya na agano la kalee
2025-10-22 08:14:45
0
salome.tenganamba
Salome🌸 :
ikiwa n kava lake shngap nahitaji
2025-10-21 11:13:07
0
doryremi
Ms_dee🍒 :
cover ya biblia ndogo kabisa ipo???shingap
2025-10-23 16:21:10
0
kolonelkasoga
Kolonel@123 :
2026-04-15 18:28:32
0
monelly5212
🌱🍒MONELLY🍒🌱 :
ndani ya biblia kuna agano la kale na jipya ???
2026-01-08 19:58:51
0
user5805816020367
tina :
mnapatikana wap jaman mbona hamjibu
2025-10-22 01:29:51
0
blandina.omary5
Blandina Omary :
unapatikana wap
2025-10-21 11:06:50
0
luki_muh
Luh🦋🇹🇿 :
Mna cover zake pia?
2025-10-21 06:55:07
0
ninapendwa2
UnstoppableAkilibora :
Dah mmegusa moyo wangu.. Mungu abariki hiyo Kazi👏
2026-01-09 05:18:14
1
posh599
my alliah ✨🫦🥂🌸 :
naomba namba zako kipenzi
2026-01-09 17:13:27
0
emmypaul27
user927486140829 :
una za watoto za new king jems? na ni bei gani?
2026-04-01 17:37:44
0
jescagidion725
jessy❤❤ :
waooo hongera kwa kuliendeleza neno la mungu ulimwengun
2025-10-21 05:55:49
0
samwelikimaro1
samwelikimaro2 :
nataka jamani vp wap munapatikana
2026-01-04 19:55:41
0
user91668341353278
ester olivo :
Mpo wap nahitaj
2026-07-24 08:19:29
0
user91668341353278
ester olivo :
Ndog agano jipya na kale shngp
2026-07-24 08:20:18
0
annagipso
ANNA STORE :
Mufanya driver
2026-03-22 09:13:48
0
user77677614428228
brilliant :
iyo kubwa ni how much???
2026-03-08 07:24:22
0
roashy.de.frananc
Roashy de Franancy :
Biblia ndogo na cover shngap
2026-03-07 23:11:38
0
tinamg500
bagdad :
saizi ndogo na kava lake ni shingapi?
2026-04-25 14:41:08
0
tz33543
Madame_Esther96 :
mnapatikana wapi jamani
2025-10-21 08:05:15
0
To see more videos from user @bibliatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About